Pavard JR

Pavard JR

Share

Sport for Refreshment

02/07/2024

Time flies 😭😢

08/10/2023

Kila la kheri wekundu wa msimbazi kwenye gemu ya Leo.

01/10/2023

Kila la kheri chama langu la wekundu wa msimbazi kwenye gemu yetu ya Leo 🙏. Inshallah tutashinda na kufuzu makundi sema ameeni.

01/10/2023

Wamefuzu lakini hawana furaha kwasababu wanaelewa baada ya miaka 25 ndo wanafika level ambayo Simba wameshafanya hvyo sana tu kwahyo hmna maajabu.

30/09/2023

Nchi hii bila Simba kufanya vizuri kimataifa Tanzania tusingepata nafasi ya kuandaa AFCON

16/09/2023

Unawakumbuka Hawa viungo Bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka

19/08/2023

Chuma Cha reli....

03/08/2023

Tukisema simba timu kubwa ndo tuna maamisha hivi ,,, Siku tatu kabla ya gemu tushamaliza ticketi zooote

26/07/2023

Mtoto kaludi nyumbani watakoma kulinga huu mwaka

26/05/2023

Pape Sakho, Peter Banda , Habibu kyombo hawana nafasi kwenye kikosi Cha Simba watafute pakwenda

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam