02/04/2026
WANAMSIMBAZIII!!! Wao Wanasema Et Wanachinja Tu ๐๐
๐ฐ...๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
โ
โ๐
โโฝ Simba Sc ๐ Coastal Union Fs
โ๐
02.04.2026, Thursday
โ๐๏ธ Isamuyo Stadium, Dar Es Salaam
โ๐ 19:00 HRS
โ
02/04/2026
MCHEZO WETU UNAOFUATA NI DHIDI YA PAMBA JIJI FCโฝ๐ฆ
Mashujaa Fc ๐ Pamba Jiji Fc
๐
๐ Saa 10:00 Jioni
๐๏ธ 04.04.2026
๐๏ธ Lake Tanganyika
02/04/2026
Baada ya Harmonize kumjibu Diamond platnumz kuhusu inshu ya ujenzi wa Arena hapo Jana, Ibrah ambaye aliwahi kuwa chini ya Harmonize aliingia insta story na kuandika "Kasongo amechafua hali ya hewa", huo ujumbe wengi wali tafsiri k**a kijembe kwenda Kwa Harmonize.
Baada ya hapo harmonize alicho kifanya ni kumblock Ibrah k**a mnavyo ona hapo.
02/04/2026
Inawezekana Harmonize Ndo Msanii anaye ongoza Kwa kuchukiwa Kwa Sasa.
Aisee ndo comment gani hii.
02/04/2026
Winga wa Elie Mpanzu amegoma kurejea kambini kufuatia madai ya kutolipwa fedha alizoahidiwa baada ya kusaini mkataba mpya.
Inaelezwa kuwa mchezaji huyo anashikilia msimamo wake hadi alipwe kiasi cha fedha za utangulizi (sign-on fee) alichoahidiwa kabla ya kikosi kurejea mazoezini.
Taarifa zinaeleza kuwa licha ya klabu kumuita kambini kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya akidai anaumwa, bado hajajitokeza.
Kutokana na hali hiyo, Mpanzu hatakuwa sehemu ya kikosi
kitakachocheza dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo.
02/04/2026
๐๏ธ๐ฅ SIMBA vs COASTAL UNION LEO NI LEO!
Msimu uliopita pale KMC Complex, Coastal Union walifanya comeback ya ajabu baada ya kutoka 2-0 hadi 2-2 dhidi ya Simba SC ๐ฎ๐ฅ
Leo majibu yanatafutwa tena!
๐ Saa 1:00 usiku (EAT)
๐ Uwanja wa Isamuyo ๐๏ธ
๐ช Simba wanahitaji ushindi wa nyumbani kujiimarisha zaidi kwenye mbio za ubingwa.
02/04/2026
๐จ UPDATE SIMBA SC ๐ฆ
Simba SC imeomba kutumia uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium kwa mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Dodoma Jiji FC utakaochezwa April 12.
๐ Endapo maombi yatakubaliwa, Simba watacheza mechi 3 mfululizo jijini Arusha:
๐ Tanzania Revenue Authority FC April 9
๐ Dodoma Jiji โ April 12
๐ Fountain Gate FC - April 15
๐ฅ Ratiba nzito ndani ya muda mfupi mtihani mkubwa kwa wekundu wa Msimbazi!
02/04/2026
๐จ๐ฃ Timu ya Taifa ya Portugal ๐ต๐น imepanga mchezo wa kirafiki dhidi ya Nigeria ๐ณ๐ฌ tarehe 10 Juni ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia ๐๐
๐ฅ Huu ni mtihani mzito kwa timu zote mbili:
Portugal wakijiandaa na ushindani wa kiwango cha juu
Nigeria wakipata nafasi ya kujipima dhidi ya moja ya timu bora Ulaya
๐ Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa na burudani ya hali ya juu kwa mashabiki wa soka duniani!
02/04/2026
๐ฅ ATEBA ANAWAKA IRAQ!
Mshambuliaji Leonel Ateba ๐จ๐ฒ ameendelea kungโara kwenye Ligi Kuu ya Iraq ๐ฎ๐ถ baada ya kufikisha mabao 13 katika msimu wake wa kwanza ๐
Amefikia idadi ile ile ya mabao aliyofunga akiwa na Simba SC ๐น๐ฟ msimu wa 2024/25 ndani ya NBC PL
๐ Vinara wa mabao kwa sasa:
๐ฅ ๐บ๐ฟ Temirov โ 20
๐ฅ ๐ณ๐ฌ Kuku โ 14
๐ฅ Ateba โ 13
๐น๐ฟ Simon Msuva ana mabao 4 pekee hadi sasa
โณ Bado mechi 13 kabla ya msimu kumalizika vita ya kiatu cha ufungaji bado iko wazi!
02/04/2026
WANANCHIIIIIII!!! Wao Wanasema Et Kwao Ni Kicheko Tu ๐๐
๐ฐ...๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
โ
โ๐
โโฝ Young Africans ๐ Tanzania Prisons
โ๐
04.04.2026, Saturday
โ๐๏ธ KMC Complex, Dar Es Salaam
โ๐ 18:30 EAT
โ
02/04/2026
TOP 10 MSIMAMO WA LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE BADA YA MCHEZO WA LEO WA JANA
02/04/2026
BREAKING NEWS: ๐จ SIMBA WAANGUKIA PUA KESI YA DAMARO TFF! taarifa za awali ni kwamba Simba wameshindwa kesi waliyoifungua TFF kuhusu uhalali wa uraia wa mchezaji Mohammed Damaro Camara, kila kitu kimeonekana kipo against wao (Simba) na uraia wa Mohammed Camara hauna shaka yeyote. Taarifa kamili itatoka hivi punde.
Simba wanafikilia kwenda CAS ๐คฃ๐คฃ