Apolo mitumba store

Apolo mitumba store

Share

We sale best thrift products in one store, all gender , all age groups! "Let us show you the true meaning of mitumba grade one."

used clothing, handbags, toys, shoes and household items at a reasonable price.We do deliveries in and outside the country.

Photos from Apolo mitumba store's post 05/09/2026

Comment namba ya blouse unayoitaka uipate hadi zaidi ya nusu bei….‼️‼️‼️
Fanya malipo , subiria kuiipokea na kuivaa.
💃💃💃

03/09/2026

🔥 SEPTEMBER CLEARANCE SALE — HII NI ZAIDI YA MNADA! 🔥

Kwa wenye watoto, hii ni fursa ya kujazia wardrobe ya mtoto kwa pamoja . Unapata mchanganyiko mzuri wa nguo za quality/Grade 1 kwa bei iliyoshuka, badala ya kununua item moja moja kwa bei kubwa.

💼 Wafanyabiashara pia msipitwe! Nunua kwa BULK, pata bidhaa nzuri kwa bei rahisi na save zaidi — nafasi nzuri ya kupata stock na bado ukaacha room ya faida. 🔥

Tunauza ONE BY ONE au BULK
Bidhaa ZOTE ziko kwenye SALE — UP TO 50% OFF!

⚠️ FIRST ORDER, FIRST SAVED!
Tafadhali hakikisha cards na accounts zako za mobile money ziko loaded 💳📲 kwa sababu ukichelewa kulipa, bidhaa inaweza kuchukuliwa na mwingine.

Usiangalie tu… CHAGUA, LIPA & SAVE! 😍🔥

📩 DM/WhatsApp ku-order sasa.

APOLO MITUMBA STORE — Tupo kwaajili yako

03/09/2026

🔥 SEPTEMBER CLEARANCE SALE — HII NI ZAIDI YA MNADA! 🔥

Kwa wenye watoto, hii ni fursa ya kujazia wardrobe ya mtoto kwa pamoja . Unapata mchanganyiko mzuri wa nguo za quality/Grade 1 kwa bei iliyoshuka, badala ya kununua item moja moja kwa bei kubwa.

💼 Wafanyabiashara pia msipitwe! Nunua kwa BULK, pata bidhaa nzuri kwa bei rahisi na save zaidi — nafasi nzuri ya kupata stock na bado ukaacha room ya faida.

🛍️ Tunauza ONE BY ONE au BULK
Bidhaa ZOTE ziko kwenye SALE — UP TO 50% OFF!

⚠️ FIRST ORDER, FIRST SAVED!
Tafadhali hakikisha cards na accounts zako za mobile money ziko loaded 💳📲 kwa sababu ukichelewa kulipa, bidhaa inaweza kuchukuliwa na mwingine.

Usiangalie tu… CHAGUA, LIPA & SAVE! 😍🔥

📩 DM/WhatsApp ku-order sasa.

APOLO MITUMBA STORE — Tupo kwaajili yako

24/08/2026

🔥 KIDS SALE — HADI 50% OFF! 🛍️✨

Quality nzuri. Designs nzuri. Bei tu ndiyo imeshuka! 😍

Tumepunguza bei za nguo za watoto hadi 50% OFF — nafasi nzuri ya kuwavisha watoto wako vizuri kwa bei rafiki. 💕👗👕🧥

⏰ SALE inaishia Jumapili, 30/08/2026.

📌 Jinsi ya ku-order:
Ukipenda nguo yoyote, lipa kwanza, kisha tutumie message/screenshot ya muamala kwa confirmation. Baada ya malipo kuthibitishwa, nguo itawekwa pembeni kwa ajili yako.

Usipange kukosa hii
QualityKidsWear KidsClothes Mwanza

15/08/2026

1.HOODIE
Hii inafaa kwenye baridi kali hasa likiwa nzito kwa sababu linafunika kichwa na shingo pia.
Ndani anavaa tshirt au hata simple round sweater na hii anaiweka kwa juu.
Nzuri sana kwa safari, shuleni msimu wa baridi kali

2.CARDIGAN
Hii inafaa kwa siku zenye baridi ya wastani na hasa k**a inatarajiwa hali ya hewa kubadilika kuwa ya joto baada ya muda .
Inaweza valiwa juu ya nguo katamikono, tshirts n.k
Inafaa sana asubuhi na hasa kwa mitoko , kanisani na casual wear.

3.LIGHT WEIGHT PULLNECK
Inafaa kwenye baridi kidogo, anaweza vaa bila kitu chochote ndani kwenye mitoko ya shuleni, kanisani au familia

4.SWEATER VEST
Inafaa siku isiyo na baridi sana.Inakinga kifua na mgongo hivyo ni nzuri kwa watoto wanaopanda bodaboda, wanaokaa vyumba vyenye AC , anaweza vaa juu ya nguo au hata sweta jingine.
Inakubalika k**a uniform shuleni au kuongeza look yake akiwa anatoka tuu.

5.CARDIGAN WITH BUTTONS
Nik**a namba 2 hapo juu ila hii anaweza kufunga na kufungua vifungo.

6.2in 1 PULLOVER
Inafaa wakati wa baridi ya wastani, anaweza akavaa na vest peke yake ndani .
Inafaa kwa casual outings

7.PULLOVER
Ikiwa nzito vizuri inafaa hata wakati wa baridi kali.
Anaweza valia nguo ngingine ndani .

8.CRICKET SWEATER
Unafaa wakati wa baridi ya wastani au kuvaa ndani ya sweater jingine k**a hood .
Nzuri kwa shuleni, casual outings n.k
Inapendeza sana akivaa na shati na kutoa kola ya shati kwa
Tuambie kwenye comment size ya mtoti wako, mahali alipo na unataka kwaajili ya kuvaa wapi nasi tutakusaidia kukushauri au kukuuzia sweta ambalo analihitaji.

01/08/2026

Kwa ujumla categories kuu za dolls ni:

* Baby Dolls – watoto hujifunza malezi na huruma.
* Soft/Plush Dolls – salama zaidi kwa watoto wadogo na hutoa comfort.
* Fashion Dolls – k**a Barbie; huboresha ubunifu na role play.
* Character Dolls – wadoli wanaowakilisha wahusika mbalimbali.
* Interactive/Electronic Dolls – wanaongea, wanaimba au kufanya vitendo mbalimbali.
* Collectible Dolls – kwa kukusanya zaidi kuliko kuchezea.

DM au whatsap kwa maelezo zaidi au kujipatia mdoli anaefaa kwaajili ya mtoto wako.

29/07/2026

SHIRT ZA DRAFT SI ZOTE ZINAFANANA! 👔🔥

Watu wengi huona mistari tu, lakini ukweli ni kwamba aina ya draft ni tofauti ukitulia utagundua kwamba kuna

✔️ Draft ndogo ndogo (Fine stripes)
Hutoa muonekano wa smart, classy na elegant. Haipunguzi wala kuongeza urefu/upana inatoa muonekano ulio tulia na wa kawaida(neutral).Hii inafaa sana kwa mtu mwenye mwili wa wastani

✔️ Draft kubwa kubwa (Bold stripes)
Huonekana modern na casual zaidi. Zinavutia macho na zinafaa kwa mtu anayependa kuonekana tofauti.Wale wapenzi wa fashion zaidi.

✔️ Draft za wima (Vertical stripes)
Ndizo zinazopendwa zaidi kwa sababu hutoa muonekano wa urefu na wembamba.Inafaa sana kwa watu wafupi na wenye miili minene.

✔️ Draft za mlalo (Horizontal stripes)
Huongeza mwonekano wa upana wa mwili, hivyo humfaa sana mtu mrefu na mwenye mwembamba au mtu mwembamba sana na mfupi.

Shirt za draft zinapendeza kuvaliwa na nini?
👖 Jeans za plain.
👖 Chino za rangi moja.
👖 Suruali za kitambaa zisizo na michoro.
👖 Pensi au trousers za plain kwa muonekano wa ofisini au kwenye events rasmi.

Makosa ambayo watu wengi hufanya bila kujua
❌ Kuchanganya shirt ya draft na suruali yenye michoro au draft nyingine nyingi, jambo linalofanya muonekano uwe mbaya na kuboa macho ya wengine.
❌ Kuchagua draft isiyolingana na umbo la mwili au tukio analokwenda.
❌ Kuvaa accessories nyingi zinazoshindana na muonekano wa shirt.

Shirt za draft zinafaa zaidi kwa:
✔️ Ofisini.
✔️ Mikutano ya kikazi.
✔️ Ibada.
✔️ Dinner na lunch outings.
✔️ Graduation.
✔️ Smart casual outings.
✔️ Safari na weekend events unapohitaji kuonekana nadhifu bila kujisitiri kupita kiasi.

📩 Karibu Apolo Store! Tunazo size zote kuanzia Extra Small (XS) hadi size kubwa kabisa, zikiwa ni quality ya Grade One. Tuma ujumbe sasa tukusaidie kupata size na design inayokufaa.

27/07/2026

Sisi ndo ile one shop from pregnancy to newborn.
Kwetu, safari yako inaanza ukiwa mjamzito na inaendelea hata baada ya kujifungua.

Tutakusaidia kupata nguo nzuri za ujauzito na mtoto akishafika, shopping isiwe sehemu ya stress yako.

Baada ya kujifungua, muda wako unapaswa kuwa kwa mtoto na kupumzika—not kutembea madukani.

Sisi tutakusaidia kupata kila unachohitaji kwa mtoto wako, kuanzia nguo, warmers, toys, bags, bedsheets, duvets na mahitaji mengine muhimu.

Fanya order ukiwa nyumbani, nasi tutakushauri na kuhakikisha unapata bidhaa zinazofaa na zenye ubora.

Relax. Recover. Bond with your baby. We will handle the shopping. 🤍

24/07/2026

Wakati mwingine changamoto si kununua zawadi, bali kujua zawadi ipi itamfurahisha mtu unayempenda.
Hapa ndipo sisi huingia ili kuhakikisha lengo lako linafanikiwa.
Mteja wetu alitufikia akihitaji zawadi kwa ajili ya dada yake.
Hakujua amchukulie nini kati ya nguo, viatu, bag n.k
Ikabidi kumsaidia na Tulichohitaji kutoka kwake ni taarifa tuu k**a umri wa dada yake, her style ,vitu anavyopendelea, rangi apendazo, hobbies n.k kisha yeye akatulia na sisi tukamsaidia kuchagua kulingana na taarifa alizotupatia na kupata kitu ambacho kingekuwa na thamani kwake.
Matokeo?!Tabasamu na furaha halisi baada ya kupokea zawadi. 💜Umesikia hadi mama mtu kashout “her favorite”👌
Karibu hata wewe tukuhudumie bure kabisaaa, kwa bidhaa yoyote kwaajili yako au mtu yeyote unaempelekea.
Try us na utatupa feedback k**a hii💯
Hiyo ndiyo maana ya Consultation Service yetu. Hatukuuzi bidhaa tu, tunakusaidia kufanya chaguo sahihi ili fedha yako ilete furaha na kuridhika.

Unahitaji msaada wa kuchagua jeans, outfit, au zawadi kwa mtu wa muhimu kwako? Tuma ujumbe, tutakushauri hadi upate chaguo linalokufaa.

📩 DM sasa upate Consultation Service yetu ❤️

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Mwanza
Dar Es Salaam
255742670760