13/04/2022
Deal Done ADEBAYOR to Berkane
HOME OF SPORTS TANZANIA, EVERY BODY YOUR INVITED
13/04/2022
Deal Done ADEBAYOR to Berkane
22/05/2021
Kuelekea mchezo wa Leo: kocha wa KAIZER chief Gavin Hunt amesema mchezo wa Leo ni mchezo mpya tofauti na wa awali watatumia mbinu tofauti na hakutokuwa na na mabadiliko atatumia kikosi chake kilekile.
04/05/2021
SIKU 100 ZA DIDIER GOMEZ DA ROSA
β» Michezo 20
β
Ushindi 15
β Kufungwa 1
π Sale 4
β½ Magoli kufunga 39
β½ Magoli Kufungwa 9
Kwenye michezo ya VPL Didier GOMEZ da Rosa hajafungwa na timu yoyote. Je Jumamosi Yanga kutibua rekodi zake?
04/05/2021
Roma wamethibitisha Jose Mourinho atakuwa kocha wao mkuu msimu wa 2021-22.
29/04/2021
π
Nicolous Pepe amehusika moja kwa moja kwenye magoli kumi (10) kwenye Europa League msimu huu.
β½ Magoli 6
π― Assist 4
Nakufanya kuwa Mchezaji pekee mpaka sasa amehusika kwenye magoli mengi kwenye michuano hiyo.πͺπͺ
Neno moja kwake.
29/04/2021
MFAHAMU DANIEL EK BILLIONER WA KISWEDISH ANAYETAKA INUNUA ARSENAL
π Daniel Ek ni billionea wa Swedish Mjasiliamali na mwanatekenolojia.
π Ek anatambulika K**a mwanzilishi na CEO wa music streaming service Spotify.
π Daniel EK amezaliwa Stockholma Sweden tarehe 21 February 1983 ( 38 ).
π Inatajwa Net worth yake kufikia 4.8 billion USD (2021), Mwaka 2016 EK alimuoa mkewe Sofia Levander na walibahatika kupata Watoto 2
π Elimu: KTH Royal Institute of Technology
π Tuzo: International Swede of the Year
π Movies: Artifact
π Huyu ndiye Daniel EK anayetarajiwa kuinunua Arsenal kwa doller 1.4b huku nyuma yake akipewa sapoti na T14, Vieira na Denis Beckamp. π
29/04/2021
Dondosha Utabili wako sasa......!!!!! π₯
Match: Villa Real V/S Arsenal π₯π₯
Stadium: Estadio de la CerΓ‘mica
Capacity: 23,500
Pitch dimensions: 105 x 68m
Nation: Spain π₯π₯
Saka V/s Chikwezi Nani kuibuka kidedea Leo!!! πͺπΈ
27/04/2021
π¦ CR7 Thought: "Success happens when your dreams are bigger than your exceses"
Afternoon Motivetion πͺ
Mohamed Hussein ameitwa naye kaitika jangwani, NAAMU!.. πΆπΆπΆ
22/04/2021
OFFICIAL: Zlatan akiwa na miaka 40 amesaini mkataba mpya utaomuweka Ac Millan mpaka 2022.