jacob_ntulo_official_the_world

jacob_ntulo_official_the_world

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jacob_ntulo_official_the_world, Sports, Dar es Salaam.

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 08/03/2025

Nukuu ya leo kutoka kwa Birthday Boy Ntulo Jb93 Ni hii ~Kuna watu baada ya KUKUTANA NAO, unatamani k**a UNGEWAFAHAMU miaka MINGI ILIYOPITA, ila Pia Kuna watu baada ya kukutana nao UNATAMANI USINGEWAHI KUKUTANA NAO KABISA kwenye maisha yako kutokana na MAUMIVU WALIYOKUACHIA.

Ndio maana ni MUHIMU sana kuendelea kumuomba MUNGU ili AKUKUTANISHE na watu SAHIHI, kwa sababu watu wanaweza aidha KUHARIBU MAISHA YAKO au KUKUSAIDIA kuwa MWANZO WA FURAHA NA MAFANIKIO YAKO AHSANTE SANA WAZAZI WANGU MPAKA HAPA NILIPO SIFA NYINGI NI ZENU PIAH BILA KUSAHAU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI AMBAO WANANIZUNGUKA NAWASHUKURUN KWA UMOJA WENU MUNGU AWABARIKI NYOTE.+1๐ŸŽ‚๐Ÿฝ๏ธ๐Ÿด๐Ÿฅ‚

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 23/02/2025
Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 20/01/2025

Vikwazo, changamoto, na maneno ya watu hayawezi kukuzuia kufikia ndoto zako.

Ni maamuzi yako na jinsi unavyochukua hatua ndivyo vitakavyoamua safari yako ya mafanikio.

Jiamini, songa mbele, na usikubali kujizuia

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 11/01/2025

Kila kushindwa kuna funzo kubwa, Usikubali changamoto zikatishe ndoto zako, usiogope kujaribu tena

Mafanikio yanajengwa na uvumilivu, bidii, na kuamini kwamba kila hatua, hata inayoshindwa, ni sehemu ya safari yako ya ukuaji, usikate tamaa

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 04/01/2025

Ukichelewa kujielewa halafu ukaja kujielewa ukubwani unakuwa na kaushamba cha kujielewa๐Ÿซ”

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 04/01/2025

.. Amini kile ambacho moyo wako unakusukuma kufanya na sio kile ambacho watu wanasema

Haujaumbwa kumfurahisha kila mtu usijitwishe mzigo usio kuhusu tatizo watu wema wanakujaga wakati ambao tumeshaacha kuwaamin watu

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 27/12/2024

Ngumu sana kumtunza mwanamke ambae anaamini uzuri wake utamtoa kwenye umasikini

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 27/12/2024

.. Usiruhusu watu wakupangie namna ya kuishi ikiwa kwenye magumu yako huwa hawakusaidi k**a unaamin unachofanya usiruhusu watu wakurudishe nyuma

Manahodha wengi chombo huenda mrama

๐Ÿ”‘๐Ÿ™Œ

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 27/12/2024

FAMILIAA

.. *Kila ulipo ni mlango wa mafanikio fanya tu kazi kwa bidiii kuwa mvumilivu weka malengo jali muda halafu zingatia Sala hatujui k**a tutapata ila tuna iman na anaetoa

Mola aibariki siku yako leo iwe yenye baraka

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 22/11/2024

Tuishi maisha yetu kuna kesho baada ya fake ya leo.

Jikubali na kipato chako jikubali ulivyo, jiamini.

Wewe sio wao na wao sio wewe โœ๏ธ

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 20/11/2024

Ukiwa unatafuta
siku yakupata pia ipo Kheri ya siku ya kuzaliwa Bro Mungu akupe Afya Njema na Miaka Mingi Zaidi

Photos from jacob_ntulo_official_the_world's post 16/11/2024

Kwa sasa watu waliopo humu ndani shida yao sio pesa, sio nyumba za kifahari au magari, shida yao kubwa ni uhai.

Wapo radhi wapoteze kila kitu then waanze moja, tunatakiwa kuishi kwa kutanguliza utu kwanza then mengine yanafuata.

By the way waokoaji sasa wanaonekana kukaribia eneo la vifusi vya chini, wanachimba kwa tahadhari na mikono na mashine zingine wasije kuwajeruhi waliohai.

Awali baadhi ya waliohai huko chini walisikika wakiomba maji.

Wanadamu tunapoambiwa habari za kutubu na kukemewa makosa yetu tusiwe watu wa kudhihaki na kutukana na kurusha maneno ya kejeli kwa watumishi wa Mungu, mara wivu mara unatafuta umaarufu, mara unahukumu. Hakuna miongoni mwetu anayejua siku ya kuondoka duniani.Dhambi zako unazijua wewe ni shahidi wa moyo wako na siku ya mwisho utatolea hesabu na kushangiriwa na waliokuwa wakikushangiria na kukutetea kuwa uko vizuri tu na sifa za uongo za watu wa mitandaoni,siku hiyo hawatakuwepo. Mhubiri anasema mkumbuke Muumba wako.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam