14/10/2023
KUPASHA MWILI KABLA YA MAPENZI
ℹKupasha Mwili Kabla Ya Mapenzi Kunasaidia
✅Kuipa Mishipa Ya Damu Utayari Wa Kusinyaa na Kutanuka Kwa Haraka Kwaajili Ya Kusafirisha Damu Kwenda kwenye Ubongo, Na Misuli Pamoja Na Sehemu Za Siri.
✅Kuweka Misuli Tayari Kwa Ajili Ya Tendo Lenyewe.
✅Kulainisha Lips Za Mdomo, Korodani Na zile Lips Nyingine🤭
🤭HAYA WAKURYA PUNGUZENI KUPARAMIA SASA
14/10/2023
KUZUIA MAAMBUKIZI YA FANGASI.
ℹIngawa sio fangasi Zote za ngozi zinavyoweza kuzuilika, kuna baadhi ya mambo unaweza kufanya ili kupunguza uwezekano wako wa kupata.
⚠️Kutunza Mavazi na Vifaa vya michezo.
⚠️Usishiriki taulo zako, vitu vyako vya usafi au nguo zako na wengine.
⚠️Ikiwa unacheza michezo, osha na kukausha vifaa vyako baada ya kila mazoezi au mchezo. Futa vifaa baada ya kuitumia.
⚠️Badilisha soksi zako mara kwa mara.
Kuzuia Maambukizi Nyumbani
Usishiriki taulo na wengine.
⚠️Safisha taulo zako mara kwa mara.
Usishiriki vitu vya usafi k**a vile sabuni na wembe, na wengine.
⚠️Vaa flip-flops au viatu vingine visivyo na maji unapotembea karibu na bafu ya umma au eneo la bwawa.
⚠️Vaa mavazi yasiyobana, yanayonyonya unyevu kwa ajili ya mazoezi, ambayo husaidia kunyonya unyevu.
⚠️Usishiriki taulo au mikeka ya mazoezi.
Futa vifaa baada ya kuitumia.
⚠️Epuka Migusana na Mtu Mwenye Maambukizi Ya Fangasi.
⚠️Tumia Vyakula na Vinywaji Vyenye Wingi Wa Vitamin C Na Madini Ya Zinc Ili Kuimarisha Kinga Ya Mwili
JE UNASUMBULIWA NA FANGASI NA MUWASHO? WASILIANA NA 0749 60 2226 MTAALAMU WA MAGONJWA YA FANGASI NA TIBA. KIBOKO YA FANGASI ZA NGOZI, SEHEMU ZA SIRI, SEHEMU YA HAJA KUBWA, KATIKATI YA VIDOLE, NA KWAPANI.
13/10/2023
USI SUBIRI TATIZO LIWE KUBWA NDUGU ZANGU KIASI HIKI
UNASUMBULIWA NA FANGASI?
Fangasi ni nini?
⚠️Fangasi Ni Viumbe hai Ambavyo vinazaliana kwa Kutengeneza Umbile k**a Sponchi Katika sehemu chafu, Sehemu yenye unyevu unyevu, Sehemu yenye joto. Ni Kundi la viumbe tofauti na Wanyama, Mimea, Na Bacteria. Wanaishi Sehemu Yenye uchafu, Kwenye Mimea au wanyama au Eneo lolote chafu.
⚠️Kuna baadhi ya Fangasi Wanaishi Kwa kutegemea Viumbe Hai k**a wanyama na mimea, Wanaishi Ndani Ya Au Nje ya Viumbe Vingine.
⚠️Viumbe hawa Fangasi Wanapopata Mazingiza Rafiki Kwa Ajili ya Kujizalisha Ndipo Wanapoanza Kuonesha Madhara yake kwenye mwili wa kiumbe hai k**a vile binadamu au mimea.
⚠️Mazingiza Rafiki Kwa fangasi Kuzaliana ni UCHAFU, UNYEVU UNYEVU k**a Jasho Na JOTO.
⚠️Vinapopata hayo mazingira matatu Katika mwili wako Basi Hutengeneza Umbile k**a Sponchi Juu ya ngozi yako Au Ndani Ya Mwili wako na Kutoa Vimeng'enya Ambavyo Vinasaga kwa kuunguza ngozi au sehemu yoyote ya mwili wako Na Hapo Ndio utaanza kuhisi MUWASHO, na Baadae Utaona Kitu K**a MAJIVU au UNGA UNGA kwenye Ngozi Yako Na Baadae kabisa Kwa kujikuna kwako Au Kwa kutoshughulikia tatizo hilo Linapelekea Ngozi kuliwa (Hasa sehemu ya ngozi inayoitwa KERATIN).
⚠️Keratin Ni Sehemu ya nje kabisa Ya mwili Wako Ambayo Inahusika na Utengenezaji Wa Gamba La ngozi, Vinyweleo, Kucha Na Nywele.
⚠️Hivyo Keratin Inaposhambuliwa na Fangasi Ndio Utaona Ngozi Inakuwa nyekundu na Kuwaka moto, Kucha Kushambuliwa Na Vinyweleo Kutomea Sehemu hiyo.
⚠️FANGASI wapo Wa aina Nyingi ila Ambazo humsumbua Binadamu Sana ni Pamoja na
1.CANDIDA ambazo Hushambulia Sehemu Zenye Ute K**a Njia ya mkojo(UKE AU UUME)
2.RINGWORM Hawa Hushambulia ngozi, Seli Za kucha na Seli za vinyweleo. Fangasi za Sehemu za siri, kucha, Katikati Ya Vidole vya miguu na mikono.
3.ONYCHOMYCOSIS hawa Hushambulia kucha Za miguu Na Mikono.
DALILI ZA FANGASI
ℹMuwasho Wakati Wa joto
ℹMuwasho Baada ya kuoga
ℹUnga unga Mweupe juu ya ngozi Hasa sehemu za siri
ℹKutokwa na Maji Maji Ya brown Ukeni Unaonuka
ℹMaumivu makali na mchubuko Kwenye Ngozi.
K**a Una Dalili hizi Na Unahitaji Dawa Ya Kutibu Gusa Sehemu Ya Meseji Hapo Na tuchati inbox ili nikuunganishe na mtaalamu Wa Tiba za fangasi Au piga 0749 60 2226
Kwa Dar es Salaam Anakuleta ulipo Na Kwa mkoani Anakutumia Popote ulipo.
Pia Anauza Dawa za Fangasi jumla k**a utahitaji.
NB: Unavyojikuna ndivyo unazidi kueneza ugonjwa. Unavyozidi Kuchelewa kutatua tatizo ndivyo fangasi wanazidi kuisogelea damu. Wakiingia kwenye damu Utachukua Muda mrefu kupona
12/10/2023
KUNDI F:
⚠️Kumbuka kirefu cha neno "F" Ni "FAILURE"
NB: Kiherehere chenu kimewaletea aibu
12/10/2023
UNASUMBULIWA NA FANGASI?
Fangasi ni nini?
⚠️Fangasi Ni Viumbe hai Ambavyo vinazaliana kwa Kutengeneza Umbile k**a Sponchi Katika sehemu chafu, Sehemu yenye unyevu unyevu, Sehemu yenye joto. Ni Kundi la viumbe tofauti na Wanyama, Mimea, Na Bacteria. Wanaishi Sehemu Yenye uchafu, Kwenye Mimea au wanyama au Eneo lolote chafu.
⚠️Kuna baadhi ya Fangasi Wanaishi Kwa kutegemea Viumbe Hai k**a wanyama na mimea, Wanaishi Ndani Ya Au Nje ya Viumbe Vingine.
⚠️Viumbe hawa Fangasi Wanapopata Mazingiza Rafiki Kwa Ajili ya Kujizalisha Ndipo Wanapoanza Kuonesha Madhara yake kwenye mwili wa kiumbe hai k**a vile binadamu au mimea.
⚠️Mazingiza Rafiki Kwa fangasi Kuzaliana ni UCHAFU, UNYEVU UNYEVU k**a Jasho Na JOTO.
⚠️Vinapopata hayo mazingira matatu Katika mwili wako Basi Hutengeneza Umbile k**a Sponchi Juu ya ngozi yako Au Ndani Ya Mwili wako na Kutoa Vimeng'enya Ambavyo Vinasaga kwa kuunguza ngozi au sehemu yoyote ya mwili wako Na Hapo Ndio utaanza kuhisi MUWASHO, na Baadae Utaona Kitu K**a MAJIVU au UNGA UNGA kwenye Ngozi Yako Na Baadae kabisa Kwa kujikuna kwako Au Kwa kutoshughulikia tatizo hilo Linapelekea Ngozi kuliwa (Hasa sehemu ya ngozi inayoitwa KERATIN).
⚠️Keratin Ni Sehemu ya nje kabisa Ya mwili Wako Ambayo Inahusika na Utengenezaji Wa Gamba La ngozi, Vinyweleo, Kucha Na Nywele.
⚠️Hivyo Keratin Inaposhambuliwa na Fangasi Ndio Utaona Ngozi Inakuwa nyekundu na Kuwaka moto, Kucha Kushambuliwa Na Vinyweleo Kutomea Sehemu hiyo.
⚠️FANGASI wapo Wa aina Nyingi ila Ambazo humsumbua Binadamu Sana ni Pamoja na
1.CANDIDA ambazo Hushambulia Sehemu Zenye Ute K**a Njia ya mkojo(UKE AU UUME)
2.RINGWORM Hawa Hushambulia ngozi, Seli Za kucha na Seli za vinyweleo. Fangasi za Sehemu za siri, kucha, Katikati Ya Vidole vya miguu na mikono.
3.ONYCHOMYCOSIS hawa Hushambulia kucha Za miguu Na Mikono.
DALILI ZA FANGASI
ℹMuwasho Wakati Wa joto
ℹMuwasho Baada ya kuoga
ℹUnga unga Mweupe juu ya ngozi Hasa sehemu za siri
ℹKutokwa na Maji Maji Ya brown Ukeni Unaonuka
ℹMaumivu makali na mchubuko Kwenye Ngozi.
K**a Una Dalili hizi Na Unahitaji Dawa Ya Kutibu Gusa Sehemu Ya Meseji Hapo Na tuchati inbox ili nikuunganishe na mtaalamu Wa Tiba za fangasi Au piga 0749 60 2226
Kwa Dar es Salaam Anakuleta ulipo Na Kwa mkoani Anakutumia Popote ulipo.
Pia Anauza Dawa za Fangasi jumla k**a utahitaji.
11/10/2023
Hizo ni za AFL, Bado za CAFCL🤑🤑
11/10/2023
🔴⚪MSIMBAZI
🦵Kibu Denis Msimu Wa 2021/22 Akiwa Na Pape Ousumane Sakho Waliwaka Sana Na Walikuwa Vipenzi Vya Wanasimba Baada Ya Kuondokewa na Chama na Luis Miquissone Japo Hawakuweza Kuisaidia Timu ya Simba Sc Kutwa kombe La Msimu Huo.
🦵Msimu Wa 2022/23 Kibu Denis Hakufanya Vizuri Kutokana Na Kiwango Chake Kutokuwa na Muendelezo na Ni Kwasababu Alikosa magoli ya Wazi Katika Msimu Huo.
🦵Hata Hivyo Mashabiki Walichukizwa na Kufika Hatua Ya kusema Hakupaswa kuvaa Jezi Nyekundu na Nyeupe Ya Msimbazi.
🦵Kilichowashangaza Zaidi Mashabiki Wa Simba sc Mbali Na Kutoridhishwa na Kiwango Cha Mshambuliaji Huyo Na kutaka Aachwe Ujio Wa Robertinho Ukamkingia Kifua Mshambuliaji huyo.
🦵Robertinho Alikabidhiwa Kikosi Na Alienda Kuweka Kambia DUBAI siku kadhaa baada ya kukabidhiwa Simba sc K**a Kocha mkuu Akimpokea JUMA RAMADHANI MGUNDA.
🦵Siku 3 Hazikuisha Kambini Huko Dubai kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera (Robertinho) Akampongeza na Kumpa Zawadi Na Kusema Amevutiwa na Mchezaji Huyo. Ikumbukwe Mashabiki na Wachambuzi Wa media mbali mbali Tz Walishamvaa na Kusema KDP Hakustahili Kuwa Pale Simba.
🦵Taarifa Hiyo Iliwastua Sana Mashabiki Wa Msimbazi Simba sc Kwakuwa Walishamkatia Tamaa.
🦵Kibu Denis Alitiwa nguvu Na Confidence na Kocha Mkuu Robertinho Na Alikuwa Akimpa Nafasi Kila mchezo, Na Siku Ambayo Aliwapa funzo Mashabiki Wa Simba sc Ni Baada Ya Kufunga BADO KALI katika Mchezo Wa Kariakoo Derby Kati Ya Simba dhidi Yanga Sc, Mchezo Ambao Yanga Angeshinda Mchezo Huo Angetangazwa kuwa bingwa mbele ya Mtani Wake Simba sc.
🦵Kibu Denis Hakuwahi Kuzungumza chochote Kuhusu Kukataliwa Na Mashabiki Bali alijibu kwa Vitendo Kadri Muda Ulivyodhidi Kwenda.
🦵Kibu Denis Kwa Sasa Ni Lulu Mbele Ya Wanamsimbazi Na Haishangazi Kwa mashabiki Leo Akianza Katika kikosi cha kwanza Na Kuwaacha mastaa K**a Saidoo, Onana, Miquison Ambao Wamekuwa wakitumika k**a Wingers.
🦵Usichokijua ni Kwamba Kibu Denis baada ya Ujio wa Mbrazil Alimtoa Kutoka Mshambuliaji wa kati Na Kumtumia K**a Winga. Na Kibu Anakuwa hatari Zaidi Akicheza K**a Winga Wa Kulia.
🦵Ni mchezaji Mwenye Nguvu, Kasi, Ball Control Na Zaidi Ni mchezaji Ambaye Anaongoza kwa kuchezewa faulo.
🦵K**a Kibu Denis Angekuwa Mwepesi Wa Kukwepa (Kuruka) Pindi Anapokuwa anachezewa Rafu k**a Ilivyokuwa kwa Luis Miquissone Wa Miaka Ile Ya "Simba Kampa Kampa Tena" Basi Wanasimba Wangemsahau Luis Miquisone.