chupli chupli za soccer

chupli chupli za soccer

Share

soccer

21/12/2023

Hesabu za tukiwaki😅😅😅

14/12/2023

KUHUSU AUBIN KRAMO 🔥🔥🔥

Nyota wa Simba, Aubin Kramo anatarajiwa kurejea nchini wiki Ijayo kutokea Tunisia 🇹🇳 akiwa fiti mara baada ya kupona majeraha ya goti yaliyopelekea afanyiwe upasuaji.

Nyota huyo wa zamani wa ASEC MIMOSAS tayari amemaliza programu za awali za mazoezi ya utimamu wa mwili 'Fitness' na atakapotua moja kwa moja ataungana na timu kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Wydad Casablanca.

WANASIMBA MNASEMAJE?

13/08/2022
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam
Dar Es Salaam