Simba ni team yetu

Simba ni team yetu

Share

Simba nguvu moja

19/06/2024

Taarifa mbili kuhusu maboresho ndani ya timu zitakujia leo kupitia Simba App.

Saa 7:00 mchana
Saa 11:00 jioni

Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi.

17/06/2024

Taarifa kuhusu maboresho ya kikosi chetu itakujia leo kupitia Simba App.

⏰ Saa 7:00 Mchana

Muhimu ni kupakua na kulipia app yetu ili uwe wa kwanza kupata taarifa hizi. follow page yetu

29/02/2024

Habari

14/09/2023

Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!

MUME: Amka twende jogging mke wangu? 😊
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?πŸ˜’

MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya. 😯
MKE: Kwa hiyo una maana mi mgonjwa? πŸ˜•

MUME: Basi yaishe endelea kulalaπŸ€—
MKE: Kwa hiyo unaniona mi mvivu sana sio? πŸ€’

MUME: Hujanielewa mpenzi wangu sikuwa na maana hiyo baby 😧
MKE: Kwa hiyo mie mjinga mpaka nashindwa kukuelewa?😷
MUME: Jamani mi sijasema hilo😞
MKE: Kwa hiyo mie muongo?

MUME: Chonde tusiendeleze haya asubuhi namna hii😣
MKE: Kwa hiyo mie ndio naendeleza ugomvi?😀

MUME: Sikia we lala mie naenda jogging.😡
MKE: Ndio zako hizo mambo yote unafanya peke yako hunishirikishi"🀐

MUME: Unajua nimeanza kusikia kizunguzungu
MKE: Unaona nikiongea kidogo unakimbilia kuumwa, mbinafsi sana wewe...

MUME: Basi ngoja tu nilale siendi jogging
Mke: Kwahiyo ulikua unanijaribu?

πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜°πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Wanawake Mungu anawaona

Ukitaka kucheka zaidi WhatsApp 0714814995 by Emma King Tz Mastory

20/08/2023

Hawa hapa makamanda wa leo dhidi ya Dodoma Jiji.

23/07/2023

Taarifa kwa vyombo vya habari.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Moro
Dar Es Salaam
255