Wachambuzi msibadilishe misimamo yenu endeleeni vilevile kusifio uozo wenuu
ππ¨π₯π§π’π‘ ππ₯ +255 π§π
Fan of Simba SC Tanzania
13/09/2026
LEBASE NA KANGWANDA WACHAMBUZI WANATUKOSEA SANA
Wiki ilopita nilikuta mjadala wa lebase na kangwanda wachambuzi mnatukosea sana yaani garasa k**a kangwanda jana kapoteza mipira chungu nzima af mnamfananisha na lebase kwel mnatukosea sana
Morice Abraham anavyocheza anamzid kangwanda pakubwa mno niivyo kisa anaongea kiswahili
Unasajili mabilioni af unaogopa maji wajivunii jana ilikua derby ya wachawi
13/09/2026
POLE SANA KOCHA WALIO WATUMA NDIO HAO
Usela mwingi na ushamba kwenye mpira unamteua watu ili wakawapige wapinzani huu ushamba yaan unamshambulia kocha wa tim pinzani
Hii haijaanza leo walisha waibia rivers utd ya Nigeria wakatozwa faini leo kimewalamba shida yote ni kuleta usela
Af mnauliza simba mbona hawajiungi kwenye ACA usela mwingi hakina faida yoyote k**a kiongozi mwenyewe yuko kwenye kihujum mpinzani
Taifa limeaibika sijawahi sikia azam,singida ,namungo wamepiga kocha wa timu pinzani yanga wametuaibisha
Simba atabaki mfano wakuigwa huwez kuta kiongoz anapiga kocha wa timu pinzani k**a yanga walichofanya leo
Mangungu alivyopigwa mliposti kwenye page yenu leo mposti mlivyompiga kocha wa gaborone mkemee
12/09/2026
NIKAJUA MASHABIKI TU KUMBE HADI KOCHA AKILI HANAπ
π
Yaan ushinde saba kwa timu hiyo hiyo aw mje muazime wachezaji simba tuwape lebase na moris hahahah
12/09/2026
AZIZ KI HAKUNA ALICHO KIONGEZA YANGA MPAKA SASA HIVI
Kawa mchezaji wa kawaida kazi yake akitolewaa anaingilia majukumu ya kocha hakuna kilichoongezeka zaidi ya kucheleweshea timu ushindiii
Wanga leo wamekutana chamazi wanabondana hatari
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam