Keko mwanga Sports Club

Keko mwanga Sports Club

Share

Hii ni kurasa rasmi ya Keko Mwanga Sports Club, hii ni club ya michezo iliyoanzishwa eneo la keko mwanga, kata ya Keko, Temeke, Dar es salaam.

Inahusisha michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu na Boxing

Photos from Keko mwanga Sports Club's post 18/04/2020

SAPOTIIIIIIIII

Ili timu iweze kudumu inahitaji kuungwa mkono na watu.

Tunapenda kutambulisha rasmi bidhaa zetu ambazo kwa kununua utakuwa umeshaiunga mkono timu yako pendwa ya Keko Mwanga Sports Club. Sasa unaweza kujipatia sweta (hood) kwa Tsh. 20,000/- tu kwa bei ya rejareja. Ukihitaji kwa bei ya jumla unaweza kuwasiliana nasi.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Keko Mwanga, Keko, Temeke
Dar Es Salaam
255