29/11/2022
*Familia Marathon 10th. Dec. 2022*
Tupo *K-Net House* , mwaikibaki road, karibu na roundabout ya kawe.
Mwanafamilia uliyejiandikisha na familiamarathon 2022, Tafadhali fika hapa kukusanya Kits zako.πππ½ββοΈ
Karibuni sana.
Jinsi ya kulipia *Familia Marathon 10th. Dec. 2022* :
*Selcom Lipa Number*
60342631
*Kifuatacho*
Baada ya malipo thibitisha;
1. Umbali (5km, 10km au 21km) na wasilisha jina lako kwa ujumbe mfupi kwenda kwa *Raphael +255 767 138 184*
2. Taja size za Jersey za Familia yako.
*Ada ya ushiriki ni Tsh 35,000*
* * * *
24/11/2022
Upo tayari na wewe uje tuungane kwa ajili ya kushiriki mbio za Familia Marathon zinazotarajiwa kufanyika Desemba 10 mwaka huu kwenye viunga vya Msasani beach club?
17/11/2022
Jisajili sasa muda ndio huu, Usisubiri mpaka dakika za mwisho. Tupo K-Net House, Kawe. Fika mapema ufanye usajili.
Jinsi ya kulipia:
*Selcom Lipa Number*
60342631
Baada ya malipo thibitisha
1. Umbali (5km, 10km au 21km) na wasilisha jina lako kwa ujumbe mfupi kwenda *Raphael +255 767 138 184*
2. Taja size za Jersey za Familia yako
Ada ya ushiriki ni Tsh 35,000/-
16/11/2022
Familia marathon ni ya kwetu sote. Tunakukaribisha wewe pamoja na Familia yako kushiriki. Pia wakumbushe ndugu, jamaa na marafiki, muda wa usajili ni huu.
Jinsi ya kulipia:
*Selcom Lipa Number*
60342631
Baada ya malipo thibitisha
1. Umbali (5km, 10km au 21km) na wasilisha jina lako kwa ujumbe mfupi kwenda *Raphael +255 767 138 184*
2. Taja size za Jersey za Familia yako
Ada ya ushiriki ni Tsh 35,000/-
17/06/2022
Through lifeβs ups, joy, teamwork, tolerance, patience, solidarity and downs have taught me everything I know today!
Happy Better Anniversary to us, than the previous one.
God, we thank you
17/01/2022
Finance January Babies, Asante .sweetcakes kwa cake bomba.
Tutakurudia soon .sweetcakes