04/06/2022
Maduka yapo wazi rasmi๐๐๐๐
Group ili kwa wapenzi wa chelsea na wapenda soccer
04/06/2022
Maduka yapo wazi rasmi๐๐๐๐
04/06/2022
Rais wa Napoli
Atuwezi kumzuia kwenda Chelsea ni maaamuzi yake
04/06/2022
kumbe yupo serious kutua chelsea ndoto yake toka zamani
04/06/2022
UNAONA K**A MIMI๐ฑ๐ฑ๐ฑ๐ฑ
04/06/2022
Premiere league awajatoka bure nani nime msahau๐ค๐ค๐ค๐ค
04/06/2022
Liverpool wanata kumsajiri pulisic k**a mbadala was sadio mane anaetimkia Bayern Munich๐ค๐ค๐ค๐ค
31/05/2022
Dembele atajiunga na chelsea kwa uwamisho wa bure k**a watafikia makubariano na chelsea dembele yupo nchini morocco ukweni kwake
31/05/2022
Hii itakuwa taarifa ya kusaini kuanza enzi za toddy boehly
31/05/2022
Kaanza kazi tayali
31/05/2022
kimeumana kwenye timu ya taifa
30/05/2022
sasa ruksa chelsea kusajiri au kuuza mchezaji yoyote wanaomtaka baada ya selikari ya england kufuta vikwazo vyote walio viweka kwa chelsea mpaka mmiriki mpya atakapo patikana luksa kuuza jezy au tiketi
30/05/2022
Rasmi serikali ya england imetoa vikwazo vyote walivyo wawekea chelsea kutosajiri kutouza mchezaji wala yoyote wala kuuza jezy ata tiketi mpaka atapopatikana mmiriki mpya wa klabu ya chelsea rasmi leo vikwazo vyote vimefutwa sasa luksa kusajiri au kuuza mchezaji
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |
| Sunday | 08:00 - 17:00 |