Timu Bora

Timu Bora

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Timu Bora, Football Stadium, Dar es Salaam.

26/11/2022

RESPECT 🙌🙌🙌
-Huyu Ni refarii kutoka Zambia anaitwa Janny Sikazwe aliwahi kumaliza pambano la Mali-Tunisia dakika ya 86 Kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika.

-Licha ya kubezwa sana mitandaoni baadaye uchunguzi ulibainisha kuwa hakuwa sawa kutokana na athari ya joto kubwa (mwili kushindwa kuendana na joto kubwa kwenye mazingira ya nje ya mwili)

-Sasa yuko Kombe la Dunia na moja ya michezo aliyochezesha ni kati ya Belgium Vs Canada. Pambano hilo alilimudu vyema na kuwaacha wengi midomo wazi hasa waliokuwa wakibeza uwezo wake.

-Put Respect on what you do, love your work, fight your war.

-Lastly, pay respect for those who Respect 👏👏


✍️

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam