04/10/2026
FOCUS. PREPARE. REPRESENT. πΉπΏπ
The countdown to Obaro 7s β Pretoria, South Africa continues.
For the Twiga Kings, the focus now is preparation, discipline and one mission β represent Tanzania with pride.
No distractions. Just the work.
________________________________
LENGO. KUJIANDAA. KUWAKILISHA. πΉπΏπ
Maandalizi kuelekea Obaro 7s β Pretoria, Afrika Kusini yanaendelea.
Kwa Twiga Kings, sasa ni muda wa umakini, nidhamu na maandalizi β kwa dhamira moja: kuiwakilisha Tanzania kwa fahari.
Hakuna usumbufu. Ni kazi tu.