19/02/2020
Kwa mara nyingine vijana wa lupiro boyz tumerudi tena....
Tunamshukuru mungu mechi imeisha salama
lupiro boy ni team iliyoundwa vijana kutoka katika kijiji cha lupiro,pia team hii ikiwa na jumla ya wachezaj wapatao 25
19/02/2020
Kwa mara nyingine vijana wa lupiro boyz tumerudi tena....
Tunamshukuru mungu mechi imeisha salama
mpiro wa miguu ni mchezo wa kiungwana na wa2 weng duniani wanaupenda uchezo na pia wa2 ukoxa fulara kabixa pale timu yake inavyofungwa napenda kuxema tuiombee lupiro boyz iwe time bora na yenye waxhabik weng zaidi
kila siku tunaomba mungu ili atubariki tujikwamue kisoka
kadri siku zinavyoenda na lupiro boyz inakuwa imala na macho ya watu wa lupiro yanawatizama ao watoto ni vijana ambao wana mpira wa kuzaliwa tusiwe na kinyongo wana soka tujitokeze wadau wa soka tuikomboe time yetu
lupiro boyz ni team ambayo makazi yake yako lupiro na inaendeshwa kwa seria na kanun zote ni vijana ambao ni tishio kwa karne hii na wanaoogopeka katika wilaya ya ulanga ni vijana wa makamu 2 wamekamilika idala zote naomb tuwaombee kila la kher ili wafanikiwe wawe wachezaji bora apo nchin kwapamoja tuseme "ATUSHINDWI"
mambo vp wadau wa lupiro boyz
mambo vp wanangu wa nguvu wa lupiro boyz?..
aje wana lupiro boyz?
Ikiwa imebakia cku moja kabla ya vjana wa lupiro boyz fc kuelekea kwenye nusu fainal ya pili zd ya real kids cku ya j3 kwenye uwanja wa shule ya msing lupiro..penda x**a chama langu