25/06/2025
CONGRATULATIONS YOUNG AFRICANS this is football sadness joy and pain
babu yang alinifunza jinsi ya kumuuwa nyoka lkn alinitilia mkazo san usijaribu kumuuwa nyoka bila kumuheshimu bila tahadhari
nimeumia san lkn its football unachezaj mbele ya jini pacome zouzou what a drible what a play what a moment tumeadhibiwa kwa makosa ya tahadhar
hang up simba ๐ฆโค๏ธ
28/05/2025
Shogaake ๐ธ๐ธ
anakandwa huko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
19/05/2025
We are standing with the lion in every difficult timeโ and good โWe standing in every fate - and we have been together - and the lion even before we have our lovers and even after leaving our lovers๐ but we are still with lion๐ฆโ it hurts and frustrates so we will stay with the lion in every time.
12/05/2025
Wanangu si bado tuna kikao kizito sn pale msimbaziiiii
follow Abdillah Abdi
12/05/2025
Hawa jamaaa wana haha san ili wajarib kuisha wish yanga ya mchong ilete timu ๐๐๐๐๐๐
12/05/2025
anangu hapa vp tunaenda ama tunabaki dar dola 1200 ni saw na sh ngap wakuu๐
12/05/2025
โNi vyema kila mtu akafahamu kwamba Simba ni mwana fainali ya CAF, fainali ya mara ya pili baada ya ile ya mwaka 1993 na safari hii tukicheza na RS Berkane ya Morocco.โ
โKatika kufika fainali hii tunayo kila sababu kumshukuru Rais na Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji. Amefanya kazi kubwa sana, amepambana na amepigana vita kubwa kuhakikisha Simba inafika fainali ya Kombe la Shirikisho.
Mo Dewji amefanya kila kinachowezekana ndani ya klabu yetu. Sisi Wanasimba hatuna budi kumshukuru, kumpongeza na kumuombea aendelee kupambana kuiba Simba ubingwa wa Afrika. Tumuombee kwa Mwenyezi Mungu ampe afya njema, kuimarisha uchumi wake na kuendeleza mapenzi yake kwa Simba Sports Club.โ
โLakini hatuna budi pia kumpongeza Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu ya kufika fainali ya Afrika. msimu huu amejitoa sana, amepambana sana, amekuwa bega kwa bega na Simba, ameilea Simba k**a mtoto wake wa kumzaa mwenyewe, amekuwa akiisimamia Simba kwa kila hatua na leo Simba inakwenda kucheza fainali ya Afrika. Yeye kwa kushirikiana na wajumbe wa bodi wamefanya kazi kubwa. Wapo wengi wamepambana lakini hawa ndio machampioni wetu wa kuifikisha Simba hapa tulipofika.โ
โBaada ya kumalizana na Berkane, Mnyama atarudi nyumbani kwa mchezo wa marudiano na kombe litakuwepo Uwanja wa Mkapa. Kuelekea mechi zetu za fainali tunakwenda na kauli mbiu ya TUNABEBA. Tunamaanisha ubingwa wa Afrika safari hii tunabeba. Kuanzia sasa kila Mwanasimba aiweke moyoni hiyo na aanze kufanyia kazi kuhakikisha kombe hili tunabeba.โ- Semaji Ahmed Ally.
29/01/2024
Football
Kuna mwana mchezo mkubwa aliwahi kusema
Sifikirii k**a football ni mchezo wa furaha kwa sababu unatoka majumbani ukiwa na furaha lkn unarudi ukiwa na huzuni.
THIS IS FOOTBALL ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
02/01/2024
HELLO. MY FANS PAGE ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ
HII. WELCOME 2024
๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ๐ซ