29/03/2023
Rais wa Yanga, Hersi Said: “Mwanzoni mwa msimu malengo kimataifa ni kufika hatua ya makundi lakini timu imevuka hadi robo fainali ni jambo zuri na sasa tumekuwa na malengo mengine makubwa, tunalenga kufika hatua ya nusu na hatimaye kucheza mechi ya ubingwa yote yanawezekana.”