Michezo na burudani extra

Michezo na burudani extra

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Michezo na burudani extra, Sport & recreation, Kigamboni, Dar es Salaam.

29/12/2022

Pele
Pigo kwa wanamichezo wote duniani😭😭😭

R.I.P PELE

09/11/2022

Je ni mnyama au sbs
Nani ataondoka kichwa chini?
Simba SC Tanzania
Singida Big Star FC
T.RobertsMo Dewji Foundation MBET TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup

09/11/2022

Kuna haja hili kutazamwa kiundani zaidi.
"...Napelekeshwa zaidi na matumizi ya common sense kuliko kanuni au sheria. Kwa mfano ile sheria ya PF3...kwamba unakaribia kufa lakini manesi na madokta wanasema hawakutibu hauna PF3 kutoka Polisi...Na tukirudi katika common sense kanuni inayomlazimisha mchezaji kumpa mwenzake mkono. Aishi Manula anamuona Prince Dube anapakaa mafuta ya Nguruwe kabla ya mechi, atampa mkono? Na mgeni wa heshima ambaye jana kanitukana Baa kwanini nimpe mkono? Ndio maana Wazungu wakaamua fair play isiwe lazima. Zaha hapigi magoti wakati issue hizi za kupiga magoti kabla ya mechi haijaanza. Hakuna adhabu. Ferdinanes waligoma kumpa mkono John Terry. Hakuna adhabu. Suarez aligoma kumpa mkono Evra. Hakuna adhabu. Adhabu aliyopewa ilihusiana na masuala ya ubaguzi. Inanichekesha watu wanapodeal na kanuni ambazo zilitungwa huku nusu ya Wajumbe wakivuta sigara nje. Na waliozikubali walikuwa busy wakisubiri posho zao. Katika soka la wanawake zipo? Kuna dada zetu wa Kiislamu wamefundishwa kutompa mkono mwanaume. Ni k**a yule Mama aliyekwepa kumpa mkono Uhuru Kenyatta.......Napenda kutumia common sense kuliko kanuni kwa sababu kanuni nyingi zinatungwa na watu wasiotumia common sense, hata huku dunia ya tatu....

(Morrison na Metacha wamepiga watu wamefungiwa mechi tatu...hawa hawajasalimia wamepigwa mechi tatu, is it right?)"

πŸ“Edo Kumwembe

Follow page πŸ™πŸ™

09/11/2022

Simba Queen's vs mamelod Sundowns
Semi final
MBET. Simba SC Tanzania Mo Dewji Foundation

09/11/2022

𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛 π——π—”π—¬πŸ”°

⚽️ Club Africain πŸ†š Young Africans SC
πŸ—“ 09 November 2022
⏱ 12:00 Jioni - TUN | 02:00 Usiku - TZ
🏟 Hammedi Agrebi Olympic - Radès
πŸ†


02/11/2022

MECHI SASA IMEKWISHA
H
Je nini maoni yako
π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ π—§π—œπ— π—˜β±οΈ

Young Africans SC 0-0 Club Africain


26/10/2022

MSIMAMO:
Mechi tisa pts 15 alaf unamzidi pts moja yaani 14 mwenye mechi sita.
Vipi kwenu hii imekaaje?

25/10/2022

BADO YUPO SANA
Uongozi wa Yanga Sc umewapa taarifa mashabiki na wanachama wake kuwa kocha NABI bado ni kocha mkuu wa timu yao.
Na umewaomba kuwa watulivu.

Pia uongozi umemtaki kila lakheri kwenye maandalizi yake kuelekea Mchezo wa kesho dhidi ya KMC.

......
Follow page πŸ™πŸ™

25/10/2022

.... Golikipa wa klabu ya Rayon Sports, Ramadhan Kabwili πŸ‡ΉπŸ‡Ώ katika michezo miwili mfululizo ya ligi kuu ya Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό ameondoka na Cleansheets mbili.

β˜‘οΈ Police 0 - 1 Rayon
β˜‘οΈ Rayon 3 - 0 Espoil

πŸ‘• 02 - Games
πŸ”’ 02 - Cleansheets πŸ™Œ

25/10/2022

KITUO KINACHOFUATA
tukutane lupaso kwa mkapa


Simba SC Tanzania

25/10/2022

Focus one step a head

Photos from Michezo na burudani extra's post 25/10/2022

Kocha Mkuu Juma Mgunda na Kocha Msaidizi Selemani Matola leo wamekabidhiwa tuzo na hati za pongezi kutoka Valor Tv kwa mafanikio waliyopata ya kuifikisha timu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa makocha wazawa.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Kigamboni
Dar Es Salaam