Wasafi sports ARENA jogging

Wasafi sports ARENA jogging

Share

huu ni ukurasa huru wa wasafi jogging club. kila mtu anakarbishwa kujiunga

12/05/2026

Hawa Young Africans Sports Club sasa wameshindikana, ndani ya masaa tu na chenchi imebaki😳😳😳😳

π‚πŽπŒπ„ ππ€π‚πŠ πˆπŒπ„πˆπ“πˆπŠπ€π€π€π€!

Asanteni Sana π–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ™ŒπŸ½


11/05/2026

Wananchi Young Africans Sports Club hawanaga jambo dogo, hili nalo wameamua kulivalia njuga

Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 11/05/2026
Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 10/05/2026

klabu ya Chelsea Football Club Women imepoteza mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA mbele ya wababe MANCHESTER CITY. mechi imepigwa katika uwanja wa Stanford Bridge Chelsea Football Club .
mchezaji ERIN CUTHBERT akicheza mchezo wake wa 3000 akiwa na chelsea

Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 10/05/2026

WAJELAJELA WAMEFUNGWA Alba na
Simba SC Tanzania huku mwamba wa lusaka
Clatous Chama akinyakua tuzo ya mchezaji Bora wa mechi.
next.......

Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 10/05/2026

Tuzo za BMT Simba SC Tanzania ndio klabu Bora mwaka 2025

09/05/2026

Manchester City CITY Bado wanautaka ubingwa wa Premier League . Hapa Arsenal the gunners wacheze mechi zao vzr

Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 09/05/2026

STAR BOY ⭐
Huyu kumbe Allan Okello akicheza pale shimono ni moto πŸ”₯ wa kupotea mbali .
Wanancho Young Africans Sports Club hapa waliramba dume

08/05/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! M***a Rashidi, Culture Madevu, Mathias Mkenda, Emannuel Jumbe

Photos from Wasafi sports ARENA jogging's post 08/05/2026

THE MAGIC HOUSE 🏑 YAWAKIMBIZA ISAMUHYO

Mwanzi waliukimbia uwanja wa kmc , wakakimbilia Jeshini. Dakika za jioooon wamefanyiwa shambulio la aibu ndani ya THE MAGIC HOUSE 🏑. Ndo wakagundua kumbe Hata kule sio kwao wanachoma mafuta tu, WAMEAMUA KURUDI GETO.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam