Yanga Sc Tz

Yanga Sc Tz

Share

sports

19/07/2026

KAZI INAENDELEA... Young Africans Sports Club

14/07/2026

NIC Insurance ndiyo chaguo sahihi kwa mambo yote ya BIMA...wachague hao upate kitu bora kuliko kawaida.

"Parade toto" la Young Africans Sports Club ni siku ya jumatano wiki hii tarehe 15/07/2026

Parade la kusheherekea ubingwa wa ligi ya under 20 Tanzania.

13/07/2026

Young Africans Sports Club Inaendelea kukuandalia burudani kabambe k**a hiyo hapo chini katika video.

Usajili unafanyika kimya kimya kwa ajili ya msimu mpya wa mashindano.

11/07/2026

Young Africans Sports Club haijawahi kwenda kinyonge mbele ya timu yoyote inayojiita kubwa kamwe.

Tuisilaaaaaaaaa kisindaaaaaaaa

10/07/2026

Klabu yetu ya Young Africans Sports Club imemtambulisha rasmi kocha wetu mkuu MANQOBA MNGQITHI.

Karibu sana kocha wa mpira 🔥

10/07/2026

MWANANCHIIIIIIIIIIIIIIIIII
Young Africans Sports Club INAENDELEA NA MCHAKATO WAKE WA UCHAGUZI KWA MWAKA 2026.

YANGA SC NI TIMU INAYOFANYA UCHAGUZI WAKE KWA WELEDI MKUBWA KULIKO TIMU NYINGI BARANI AFRICA.

KONGOLE WANACHI.

08/07/2026

MAKIPA NI WENGI SANA NDANI YA NBC PREMIER LEAGUE...LAKINI DIARA NI MMOJA TU.

08/07/2026
08/07/2026

Habari mwana yanga mwenzangu,naomba kukupa taarifa kwamba klabu yetu imeanza maandizi ya usajili kimya kimya kuhakikisha kikosi kinaimarika ipasavyo.

Nitakuwa nakuwekea katika page hii wachezaji watakao Achwa na watakaosajiliwa.

Dili la kurejea kwa STEPHANO AZIZ KI LINAELEKEA KUKAMILIKA 🔥

WEKA LIKE YAKO HAPO CHINI MWANAYANGA MWENZANGU TWENDE SAWA.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Avic Town
Dar Es Salaam