07/12/2025
Manager pantev na matola nani Bora kwako mdau comment ziwe fupi fupi
mpenda soka la Tanzania na nje ya tanzania
07/12/2025
Manager pantev na matola nani Bora kwako mdau comment ziwe fupi fupi
02/12/2025
Nyie si hamkuona makosa ya pantev wenzenu wameyaona na hawatambi na Ila bongo nyoso mwaisa πππ
01/12/2025
Familia nilikuwa likizo ya mda mrefu kwani shida ya Simba ni kocha au wachezaji?
K**a shida iko kwa kocha je magoli ambayo wanakosa wachezaji uwanjani kocha anahusika kwa lipi na k**a kocha anakosa Hilo kosa lake liko wapi?
Tuelimishane
26/10/2025
Hongera sana Simba kuingia makundi neno moja kwa mnyama
25/10/2025
Neno moja kwa yangaππ
25/10/2025
Vipi mlitarajia haya?ππ
25/10/2025
Kila lakheri wananchi leo
23/10/2025
Vipi watatoboa kweli Hawa jamaa kuingia makundi?
18/10/2025
Yanga hawana Dogoππ
18/10/2025
Una lipi lakumwambia kocha wa yanga folz mwandambo?
18/10/2025
MAMBO KUMI SILVER STRIKER VS YANGA
1οΈβ£ Kibarua kigumu kimataifa β Silver Strikers wa Malawi wamewapa Yanga somo la kutokubeza wapinzani hasa ambao hawaonekani Mara kwa Mara kwenye videoπ
2οΈβ£ Andulu Yosefe ππ½ β alitumia makosa ya walinzi wa Yanga waliokuwa wote mbele, akafunga bao safi la kufundisha! Namna yakulinda goli kwa tahadhari na kushambulia kwa nidhamu
3οΈβ£ Max Nzengeliβ moyo, kasi, nguvu na kujituma. Huyu kijana ni injini ya Yanga kila dakika anajituma sana
4οΈβ£ Silver Strikers πͺπ½ β waliwanyima Sana yanga kutengeneza nafasi za wazi zaidi ya hapo ilitakiwa watumie vizuri nafasi za mipira iliyokufa
5οΈβ£ Uchizi Vunga π β bleach kichwani, akili uwanjani! Nguvu na utulivu vinamtofautisha kabisa anajua mpaka anajua tena
6οΈβ£ Namba 9 ya Yanga bado shida kubwa! Hawana straika wa kuamua mechi ngumu hasa timu inapokutana na mpinzani mgumu kimbinu
7οΈβ£ KOCHA FOLIZ ananipa mashaka mengi Sana namna ya soka analofundisha sioni impact yeyote aliyoleta Hadi sasa naona kabisa yanga wanatakiwa kuingia sokoni kutafuta kocha mwenye uwezo mkubwa
8οΈβ£ Sub ya ajabu π β Mwenda out, Edmond in, ulinzi ukayeyuka. Max akalazimika kushuka nyuma kusaidia sehemu ambayo si eneo lake
9οΈβ£ Ubinafsi mwingi π€ β kila mchezaji anataka kufunga, teamwork ikapotea kabisa.
π Dakika 90 zimepita Malawi π²πΌ β zingine zinakuja kwa Mkapa πΉπΏπ₯. Hapo ndipo tanuru la moto litawashwa!
NB: NAO WATAKUJA KWA MKAPAπ¨
| 09:00 - 17:00 |