30/09/2022
🗳️ Zoezi la kupiga kura kuchagua Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Septemba linaendelea.
Tembelea tovuti yetu ya simbasc.co.tz ili kupiga kura.
28/09/2022
Dejan ‘Lete Mzungu’ yuko njiani kwa njia ya Boti akitokea Zanzibar. Ni baada ya mkataba wake na Simba kuvunjika rasmi leo.✍🏼
28/09/2022
MECHI YA KIRAFIKI 🔥 HII LEO SEPTEMBA 2️⃣8️⃣
Kipanga 🆚 Simba Sc
🏟 Amaan, Zanzibar
⏰ Saa 2:15 Usiku
28/09/2022
Dejan asitisha mkataba wake Simba Leo
Follow Uchambuzi leo for new apdates