Sport shemdoe

Sport shemdoe

Share

Michezo

29/09/2025
29/06/2024

Ibenge akila mitaa TZ

24/06/2024

MESSAGE YA INONGA KWA MASHABIKI WA SIMBA

Asante sana kwa Familia nzima. Asante kwa kila kitu ulichofanya kwaajili yangu. Nafikiri leo nataka kusema kwaheri. Asante Familia, unabaki kwenye moyo wangu. Siku zote uko kwenye moyo wangu.

Ikumbukwe Inonga alisaini mkataba wa awali na Klabu ya AS FAR mwezi January 2024. Baadaye ikathibitishwa tarehe 14, June aliposaini rasmi wakati timu yake ya Taifa ya Congo ilipoweka kambi fupi Nchini Morocco kabla ya kujiandaa na mechi za Kufuzu Kombe la Dunia.

24/06/2024

Hivi katika club ya Simba SC Tanzania kuna mchezaji alishawahi kuwapa vitu vizuri zaidi ya mwamba wa lusaka anaedaiwa kutimkia kunako viunga vya jangwani?

Photos from Sport shemdoe's post 22/04/2024

Ajali ya Andes.

Ndege Iliyokuwa na Watu 45 Ilianguka na walionusurika walilazimika kula nyama za wafu ili kuendelea kuishi kabla ya kuokolewa, mnamo 1972.

Unaweza kutazama hadithi ya kweli yenye masikitiko kupitia 'Documentary' au filamu ya Andés Plane Crash mtandaoni.

19/04/2024

Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka.
Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu.

Kuna mtu alimuuliza, "kwanini hauhangaiki kushuka kwenye ndege k**a wenzako?"
Profesa akajibu kwa kujiamini,
"Ni wanafunzi wangu waliunda hii ndege".
Akaulizwa tena, "Kwahiyo una uhakika uliwafundisha vizuri? Profesa alijibu;
"K**a ni wanafunzi wangu, Nina uhakika haitopaa.."
🤗🤗

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address


Tabata
Dar Es Salaam
TBT