ZES MEDIA

ZES MEDIA

Share

Chaguo lako kwa ajili ya Trendings, Burudani na Michezo kote Ulimwenguni💫

Habari za Uhakika✅

23/03/2024

Mara ya mwisho kukutana kwa mkapa mambo yalikua hivi

Tarehe 29/3/2024;mambo yatakuwaje?

04/02/2024

TANZIA: Rais wa Namibia Hage Geingob amefariki dunia wakati akipokea matibabu hospitalini katika mji mkuu, Windhoek.

Kwa mujibu wa Makamu wa rais Nangolo Mbumba ametangaza kuwa Geingob amefariki Jumapili alfajiri.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 82 aligunduliwa kuugua saratani na alitangaza hali yake mbele ya umma mwezi uliopita.

29/01/2024

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Mafarao katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro.

Misri 🇪🇬 1-1 🇨🇩 DR Congo (P 7-8 )
⚽ Mostafa Mohamed 45'
⚽ Meschack Elia 37'

MATUTA

MISRI 🇪🇬 ✅❌✅✅✅✅✅✅❌

DRC 🇨🇩 ✅❌✅✅✅✅✅✅✅

DR Congo itachuana na Guinea katika hatua ya robo fainali

25/01/2024
Photos from ZES MEDIA's post 13/01/2024

Mlandege FC Mabingwa wa mara ya pili mfululizo

FT: Mlandege 1-0 Simba

Nini maoni yako!!?

12/05/2023

Karibu kwenye ukurasa rasimi wa ZES MEDIA
Kwa burudani, michezo na habari za mastaa mbali mbali🙏

12/05/2023

Kwa habari za michezo, burudani na story zote kali za mastaa tafadhari "SUBSCRIBE ZES MEDIA" kisha bonyeza alama ya kengele ili kuwa wa kwanza kupata habari. ASANTE!🙏
Link 👉
https://youtube.com/Zesmedia

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Dar Es Salaam