25/08/2022
Michezo na madinda jr.
Michezo niburudan
25/08/2022
20/08/2022
Kikosi kinachoanza dhidi ya Coastal Union
20/08/2022
... Salamu za pole kutoka katika klabu ya Simba SC kwenda Young Africans SC π°
20/08/2022
π ππ§ππ πππ¬π°
β½οΈCoastal Union FC π Young Africans SC
π 20 Agosti 2022
β± 10:00 Jioni
π Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
π
20/08/2022
Tanzia
19/08/2022
π‘ππ«π§ π ππ§πππ°
β½οΈCoastal Union FC π Young Africans SC
π 20 Agosti 2022
β± 10:00 Jioni
π Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
π
15/08/2022
.... Yanga wametua salama Arusha !
15/01/2022
π¨RATIBA
Timu ya Wananchi Yanga imefika salama mkoani Tanga tayari kwa mchezo dhidi ya Coastal union siku ya jumapili tarehe 16.1.2022 mchezo utakaopigwa kwenye dimba la mkwakwani.
Yanga imefika Tanga na wachezaji wao wote isipokuwa wachezaji watatu ambao ni majeruhi hawapo Tanga nao Ni pamoja na;
π° Yacouba songne (Yupo Tunisia amekwenda kuonana na Daktari kwa ajiri ya maendeleo ya jeraha lake ambalo alifanyiwa upasuaji mdogo wa goti la kulia)
π° Kibwana shomari (Yupo Tunisia kwa matibabu)
π° Abdallah shaibu Ninja (Yupo Tunisia kwa matibabu)
Wachezaji wengine wote pamoja na benchi la ufundi likiongozwa na Kocha Nabi lipo Tanga tayari kwa maandalizi ya mwisho kabla ya mchezo hapo kesho.
YANGA KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI ARUSHA JUMATANO DHIDI YA MBUNI FC UWANJA WA SHEKHE AMRI ABEID.
Timu ya Wananchi Yanga itaanza safari ya kwenda Mkoani Arusha siku ya jumatatu Asubuhi tarahe 17.1.2022 na baadae yaani jumatano ya tarehe 19.1.2022 Timu ya Wananchi Yanga watacheza mchezo wa kirafiki na MBUNI FC mchezo wa kirafiki kwenye dimba la Shekhe Amri Abeid kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.
Mara baaada ya mchezo wa kirafiki Yanga wataanza tena safari ya kuwafuata wenyeji wao Police Tanzania.Mechi Kati ya Police Tanzania na Yanga itachezwa tarehe 23.1.2022 kwenye dimba la Ushirika.
All ze best timu ya Wananchi Yanga π’π‘πͺππ
14/01/2022
14/01/2022
πππ₯ππππ πππππ is Green & Yellow π°
04/01/2022
DONE DEAL.βοΈ
πππ₯ππ¦π£ππ‘ π‘ππ¨π¦ππ is now Green & Yellowπ°KUTOKA MBEYA KWANZA.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam