Chiume News

Chiume News

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Chiume News, Sports, timothyjohn257@gmail. com, Dar es Salaam.

03/07/2022

Habib kyombo sio mchezaji wa Singida big stars tena baada ya pande zote mbili kukubaliana.

03/07/2022

Rasmi Morrison ni mchezaji wa klabu ya yanga ametambulishwa usiku huu na hii ni baada ya Morrison kumaliza mkataba wake katika klabu ya Simba .

FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD. 24/06/2022

Klabu ya Geita gold inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara imefungiwa kusajili na shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa aliye kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Ettiene Ndayiragije.

FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD. Klabu ya Geita gold inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania bara imefungiwa kusajili na shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu baada ya klabu hiyo kushindwa kumlipa aliye kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo…

ORLANDO HAINA UTANI. 23/06/2022

Logo ya klabu ya Orlando pirate KUFUATIA kuondoka kwa wachezaji saba, zaidi wanatarajiwa kuelekea mlango wa kutokea Orlando Pirates huku klabu hiyo ikiendelea kujiandaa kwa msimu mpya. Siku ya Jumatatu, Pirates ilitangaza kuondoka kwa wachezaji saba - Kwanda Mngonyama, Abel Mabaso, Justice Chabalala, Elson Sithole, Wayne Sandilands na Thabang Monare. Waliungana na Thulani Hlatshwayo ambaye alikuwa mchezaji wa kwanza kuonyeshwa mlango na klabu....

ORLANDO HAINA UTANI. Logo ya klabu ya Orlando pirate KUFUATIA kuondoka kwa wachezaji saba, zaidi wanatarajiwa kuelekea mlango wa kutokea Orlando Pirates huku klabu hiyo ikiendelea kujiandaa kwa msimu mpya. Siku ya Juma…

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Timothyjohn257@gmail. Com
Dar Es Salaam