18/08/2017
WAKUJENGA TEAM KILA MWAKA WAPO!!?
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jangwani Oyee, Sports Team, Dar es Salaam.
18/08/2017
WAKUJENGA TEAM KILA MWAKA WAPO!!?
17/05/2017
K**A MPAKA FIFA WAMEGOMEA MPANGO NI........,....,,,....,,!!!!?
16/05/2017
Ni heshima iliyotukuka mno Kwa Club ya Yanga kutwaa ubingwa pasipokuwepo na mtu huyu. Naitakia mema club yangu kwa mchezo wa leo!!
Mpira umekwisha Simba ikiibuka na point 3
1 - 1. Bado mpira unaendelea.
25/02/2017
Heheheeeeeeeeeeeee
Mbili2 zawatosha
24/02/2017
NAFIKIRI2.
HIVI KWANINI MECHI YA KESHO ASICHEZESHE HAJI MANARA!!!!!?.
TFF na BODI ya ligi Impe ridhaa kwa kesho2 huyu mtani wangu, ili tukiwapiga wakose chakujitetea!!!!
Hapo veeeeepeeeee!!!!!!!!?
23/02/2017
Heheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Kaone kanavyotia Huruma!!!!
21/02/2017
YANGA HATUCHAGUI MNYAMA WA KULA. HATA SIMBA TUNAKULAGA2. YERAAAAAAAAAAAA.
Na mpira Umemalizika hapa Uwanja wa Taifa Dzm, kati ya Yanga na Ngaya Ya Commoro.
Matokeo yakibaki kuwa ni yaleyale ya 1 kwa 1, ambayo inaifanya Yanga kuwa na jumla ya magoli 6 kwa 2. Toka hapa Taifa mimi ni yule fulani asiyependwa na wale wa upande wa pili. Tukutane wakati mwingine, Kwaherini
Juma Abdul Out, Hassan Kessy in