22/08/2022
⛽ Mapema tuuu Dejani Kapewa ulinzi oyaa nyie 😅😅
News for new life
22/08/2022
⛽ Mapema tuuu Dejani Kapewa ulinzi oyaa nyie 😅😅
22/08/2022
Amke Amkeni Mtu Kazi kaua mtu hukooo
Karim Mandonga
Ni K.O dk 1 na Sec 52
- Bondia M***a Omari kapigwa k**a ngoma 😂😂😂
22/08/2022
22/08/2022
Haogopi kufungiwa huyu !😅
22/08/2022
22/08/2022
hongera Mbrazil
22/08/2022
Singida Big stars gari limewaka, points sita kibindoni,, Magoli yote katika round zote mbili yamefungwa na Wabrazil 🇧🇷 🔥
Full 🕡 Singida 2 - 1 Mbeyacity
53' 🕡 Dario Federico (P) ⚽
61' 🕡 Bruno Gomez ⚽
Magoli waliyofunga mpaka sasa !
⚽ - Peterson Cruz 🇧🇷
⚽ - Dario Federico 🇧🇷
⚽ - Bruno Gomez 🇧🇷
Goli la Bruno hakika ni la Kibrazil 🔥
Full 🕡 Polisi 2 - 2 KMC
Full 🕡 Mtibwa 2 - 1 Ruvu shooting
Endelea Kutazama Mechi za NBC PL LIVE kupitia simu Yako download Baraka TV Live
📱Download Baraka TV App Utazame Mechi Mbalimbali LIVE kupitia simu Yako 👉🏽 http://bit.ly/barakalivetv
05/08/2022
Nikiwa k**a Kocha kutoka Afrika nimefanya makubwa kwenye soka la Afrika na nina amini Afrika tuna nafasi ya kufanya zaidi ya nikichokifanya kwenye soka kukuza Mpira wetu ulimwenguni kote"
🔰
05/08/2022
na
Hii game mandonga anapigwa tena
01/08/2022