16/07/2026
Bado siku 10 kuelekea uzinduzi wa Wiki ya Simba 2026.
Huu ni ukurasa wa WATANZANIA wote hutakiwi kutukana katika ukurasa huu. Zingatia Amani na Upendo.
16/07/2026
Bado siku 10 kuelekea uzinduzi wa Wiki ya Simba 2026.
16/07/2026
16/07/2026
UPCOMING TRANSFER WINDOW 🪟 UPDATE 🔔📝💰🔔.
🛜💻 Jonathan Sowah na Singida Black Stars SC wanamalizia taratibu chache kukamilisha usajili kwa mkataba wa miaka miwili.
MCB MICHEZO, HERE WE GO 🤝👊🫵🛜💻
15/07/2026
My beautiful daughter what up
15/07/2026
UPCOMING TRANSFER WINDOW 🪟 UPDATE 🔔📝💰🔔.
🛜💻 Wydad AC na Simba SC wamefikia makubaliano kwa Mwalimu kubaki na miamba hiyo ya Tanzania kwa mkopo kwa msimu mmoja zaidi.
🛜💻 Mshambuliaji huyo amekuwa na kiwango cha juu tangu ajiunge na Simba, akifunga mabao 15 hadi sasa.
MCB MICHEZO, HERE WE GO 🤝👊🫵🛜💻