Bm Mwakalobo

Bm Mwakalobo

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bm Mwakalobo, Sports, Dar es Salaam.

17/02/2024

Chama anavyoisumbua Simba alafu ana goli 4 msimu huu wakati Mudathir Yahya pale Yanga ametulia ana ubonda mwingi amefunga goli 6. Unajifunza nini hapa?

30/01/2024

Mnataka aanze Leo Leo au maana uyu jamaa anapiga magori hata akiwa benchi

21/01/2024

Kocha tunaomba umtoe beki namba 2 plz anawatesa wezake na sisi mashabiki anatuweka sana Roho juu jamani

21/01/2024

Mchezo kati ya AC Milan dhidi ya Udinese ulisimama kwa dakika 10 baada ya mashabiki wa Udinese kuimba nyimbo za kibaguzi kwa Golikipa wa AC Milan Mike Maignan kuwa ni Nyani.

Mike Maignan aliamua kumwambia mwamuzi wa Mchezo kisha akatoka njee pamoja na baadhi ya wachezaji wa AC Milan ambao hawajapendezwa na Kile walichofanya mashabiki wa Udinese.

Baada ya dakika 10, Mike Maignan aliamua kurudi uwanjani na mchezo ukaendelea k**a kawaida na dakika 90 zimekamilika kwa AC Milan kwa ushindi wa mabao 3-2.

21/01/2024

Kitu nisicho kisahau alisema

Jose mourinho 🗣 " nakumbuka tulienda Kucheza Uefa Kazan , washambuliaji wangu wote walikuwa majeruhi (Eto'o na Diego Milito) nilibaki na mario Baloteli tu

Baloteli alipata kadi ya njano dakika ya 42 , tulivyoingia chumba cha kubadirishia nguo nilitumia dakika 14 kati ya 15 kuongea na Baloteli tu , nilimwambia hivi .. Baloteli sina striker mwingine nje siwezi kukutoa , kwahyo kipindi cha pili usiguse mtu yeyote , cheza mpira tu , k**a mtu atakukejeli achana nae , k**a mwamuzi atakosea usifanye chochote "

Dakika ya 46 , Baloteli alipigwa kadi nyekundu

20/01/2024

Ligi kuu bora Irudi tu jamani tumemiss kuona vitu vizuri na maufundi mengi kutoka Yangasc na kuwaona wakezetu tunao wapigaga bao 5 5 🤣🤣🤣🤣🤣

18/01/2024

Daaah bora Ligi yetu ianze tu yani Leo nilikua naangalia marudio ambayo tuliwakanda hawa Jamani nimemiss Utamu wa mpira kabisa

Follow
Follow
Follow

17/01/2024

Ukifatilia maujiano ya nyuma ukijumlisha na yalio tokea Leo na kiongozi wao mkuu yani Rais wa anatakiwa kumuomba msamaha uyu jamaa maana aliyo yasema yametokea leo

17/01/2024

All the best my beautiful Country 🇹🇿

17/01/2024

Niliposema makipa wa hapa nyumbani wanatakiwa kujifunza kwa Diarra na sio kumlinganisha nao ilikuwa ni fact ya mchezo wa mpira wa miguu na sio zile ngonjera mnazopenda kuimbiwa kila iitwapo leo..Mpira ni mchezo wa wazi..

16/01/2024

DJIGUI DIARRA KIPA WA KISASA ANAIWAKILISHA VYEMA YANGA HUKO AFCON

AMEOKOA MICHOMO 5 MPAKA SASA MAPUMZIKO, AMEIWEKA MALI 🇲🇱 SEHEMU SALAMA MPAKA SASA...

KUMFANINISHA DIARRA NA MAKIPA WENGINE NI DHAMBI ISIYO NA MSAMAHA😂🤣

15/01/2024

Wananchi wakiwa katika harakati za Kutaka ubingwa Back to Back kwa usajili huu ni hatari jamani,hata mimi naogopa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam