Esportshd

Esportshd

Share

karibu sana kwenye chaneli yetu ya EsportsHD upate updates zetu mbalimbali,kwa maelezo wasiliana nasi

31/01/2023

Cesar Manzoki yupo hapa uwanjani 🤩

31/01/2023

HALF TIME!
Azam FC 0-1 Al Hilal

26/01/2023

Oscaroscarjr

26/01/2023

Inakuwaje hii waungwan🤔🤔 Haji manara

26/01/2023

Matokeo ya mechi ya jana Carabao Cup Marcus Rashford

Photos from Esportshd's post 26/01/2023

Msafara wa kumsindikiza marehemu aliyekuwa kaptein wa U17 wa singida big stars Mohammed banda katika jumba lake la milele
Singida Big Star FC

26/01/2023

Azam TV Esportshd

24/01/2023

Klabu ya Al Hilal ya Sudan kesho inatarajiwa kuja nchini kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi

ya Mabingwa Afrika ambapo Simba SC tutakuwa wenyeji wao.

Wakiwa hapa Tanzania Al Hilal watacheza mechi tatu za kirafiki

Jan 26 Namungo Vs Al Hilal
Jan 31 Azam Vs Al Hilal
Feb 5 Simba Vs Al Hilal
Esportshd Simba SC Tanzania Azam FC Namungo Fc

24/01/2023

Gabriel mertnelli anaichezea club ya arsenal Kawa ni moto Man u itawezaje kumkabili mchezaji huyo??? Tujadili swala hili kidogo

24/01/2023

AL Hilal kutuwa kesho jijini Dar es salaam🛬je,tutawaweza kuwafunga??? Au tujiandae kufungwa

24/01/2023

Pongezi kubwa sana kwa mchezaji wa dunia C.ronaldo ambaye kwasasa anachezea Saudi Arabia katika timu ya AL nassr❤️❤️❤️vipi kuhusu Messi tashwishwi?

24/01/2023

Top group D team? Yanga ijipange msimu huu YANGA SC

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam