04/12/2022
Follow Msafiri Mkasanga for more remix
0692188095
SIR GOD
BADDEST 47
+++++++++
Ahaaaaaa
Weeee Dee
Blaq....
Champion boy!!!!!!!
Yeah ahaa!
THE MIX
Sir God
God (God)
Mi msafili sir God,
Namsaka mwenye body,
Kubwakubwa wowo si mgodi...........
Af sir God
God (God)
Kunavitu tuvifoji,
Bamdogo ana binti,
Vipi hawezi akawa MY WANGU.....
Af sir God
God (God)
Mie similiki demu,
Bas Fanya kampango,
Nimiliki hata akiwa shemu.........
Oyah! Sir God
God (God)
Sijapiga hata pulling,
Sijapiga hata nyeto,
Lakini ikilala Siamkii.....
OYA SIR GOD, (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI................
Baddest 47
Baddest 47
Sir God
God (God)
(Mhhhh) Beti yani affect,
Kila keka nazo jaribu Kuzweka,
zinajaa ma X.....
Sir God
God (God)
Sunaniona mimi eti....
Sina wa kunipetipetiii....
Na wengine wako multiple.....
Chukua hata wawili Kwangu paste.......
Sir God
God (God)
Wenye pesa za ibirisi....
Wakija kwako kwenye kuishi....
Usiwarudishe nyuma usiwafilisiiii.....
Sir God
God (God)
Sijapiga hata pulling,
Sijapiga hata nyeto,
Lakini ikilaala siamkii...
OYA SIR GOD,
(AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI NIBARIKI (AMEN)
BARIKI BARIKI (AMEN)
BARIKI................
whozuAndaskoo Real fans
0692188091
03/12/2022