SIMBA SC Team Mashabiki

SIMBA SC Team Mashabiki

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SIMBA SC Team Mashabiki, Sports, Msimbazi, Dar es Salaam.

05/01/2024

Mnyama kazini.

04/01/2024

Mechi 2️⃣
Ushindi 2️⃣
Magoli 5️⃣

Tuna jambo letu katika

29/12/2023

VIVIAN CORAZONE AWAPIGIA HESABU KALI YANGA PRINCESS/MSIKIE HAPA BAADA YA KUGAWA DOZI BAOBAB Simba Queens Tanzania

29/12/2023

⭐️ Ngoma ⭐️

28/12/2023

Ratiba mpya ya

28/12/2023

Mipango ya usajili inaendelea muhimu ni kupakua na kulipia Simba App ili uwe wa kwanza kupata taarifa.

Photos from SIMBA SC Team Mashabiki's post 28/12/2023

Maandalizi ya yameanza.

22/12/2023

Ratiba ya tukiwa Kundi B.

22/12/2023

“Ni mwanzo mzuri wa kuwa na Simba bora zaidi.”- mjumbe wa Baraza la Ushauri la Simba na Makamu Mwenyekiti wa zamani, Geofrey Nyange ‘Kaburu’.

22/12/2023

“Simba tutafika mbali sana.”- mjumbe wa Baraza la Ushauri la Simba na Mwenyekiti wa zamani, Hassan Dalali.

Photos from SIMBA SC Team Mashabiki's post 21/12/2023

Klabu ya Simba leo imezindua Baraza la Ushauri la Simba. Baraza hilo la ushauri lenye wajumbe 20 itaongozwa na Jaji mstaafu Thomas Mihayo k**a Mwenyekiti wake na litakuwa na kazi ya kushauri uongozi wa Simba. Wajumbe wa Baraza hilo ni viongozi wa zamani wa Simba ambao ni hazina kubwa katika maendeleo ya Klabu ya Simba.

21/12/2023

TAARIFA KWA UMMA.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Culinary Team

Attire

Telephone

Address


Msimbazi
Dar Es Salaam