22/04/2024
🚨 ;Done 🤝 deal Clement Mzize ataendelea kusalia Yanga Kwa miaka miwili mbele 2026✍️.
🟢🟡
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YOUNG CASTO YANGA News., Sports, Kigamboni, Dar es Salaam.
22/04/2024
🚨 ;Done 🤝 deal Clement Mzize ataendelea kusalia Yanga Kwa miaka miwili mbele 2026✍️.
🟢🟡
08/07/2023
🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 𝗡𝗘𝗪𝗦
Wakili Msomi Patrick Simon amechaguliwa na FIFA kuwa kwenye jopo la wanasheria wa FIFA linatoa msaada na kusimamia mambo mbali mbali ya wachezaji kwa kipindi cha miaka 3.
Hongera sana ndugu Simon Patrick kwa hatua hii kubwa hongera pia ziende kwa timu ya Young Africans Sports Club kwa kukuamini na kukupa nafasi hii adhimu.
🟡🟢
NB:Kwa kuona utezi huu wa Wakili Simon Patrick nimekuwekea Instagram
👇👇 https://instagram.com/castor_yanga_news?igshid=YWYwM2I1ZDdmOQ==