14/05/2026
Mchezo umemalizika⚽🦍
Maneno na dharau zote kwisha!!
Mnyama Simba SC Tanzania Mwakilishi pekee wakutumainiwa kimataifa.
14/05/2026
Mchezo umemalizika⚽🦍
Maneno na dharau zote kwisha!!
14/05/2026
Jeshi la Simba SC.
10/05/2026
Kikosi cha kazi.
10/05/2026
Simba SC imetwaa tuzo ya Klabu Bora ya Wanaume ya mwaka katika Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) 2025 zilizofanyika Jijini Dar es salaam huku mafanikio hayo yakidhihirisha mwendelezo wa ubora wa Klabu hiyo katika mashindano mbalimbali ya ndani na Kimataifa kwa mwaka 2025.
Tuzo hiyo imetolewa Mei 9, 2026 katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es salaam ambapo imekabidhiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, na kupokewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Zubeda Sakuru mbele ya Wadau mbalimbali wa michezo Nchini.
Nyiye wengine, janjajanja zenu za kushinda kwa karatasi na michongo ya timu pinzani, zinaoneka pia.
02/05/2026
Maafisa wa mchezo wakesho .
Medali za ubingwa, siyo medali k**a shanga
29/04/2026
Tumechukua kombe na tuzo zoteeeee za mapinduzi CUP
Tuzo ya mchezaji bora wa mashindano imekwenda kwa beki wa kati, Rushine De Reuk.
Mfungaji wa bora Selemani Mwalimu 'Gomez' akiwa na magoli matatu.
Steve Barker ametwaa tuzo ya kocha bora wa mashindano.
Mchezaji bora chipukizi ikichukuliwa na kinda wa miaka 15, Hussein Ally Mbegu.
Hussein Abel ametwaa tuzo ya golikipa bora wa mashindano ya Muungano Cup 2026.
29/04/2026
Matokeo ya Derby bila .....
26/04/2026
Kikosi cha Mnyama.