RASHIRD MATUMLA: je unamfahamu mwanzilishi wa Ngumi tanzania
Juha comedy
sports & entertaiment update
Fundi tv 0735603990 wasiliana nao kwa tv aina zote flat screen
20/03/2023
Vioo vipya dk 40 unafungiwa na kuondoka na tv yako ,wasiliana na 0735603990 pia wanafanya ufundi popote ulipo ndani ya dar es salaam
14/03/2023
600M zilitumika kumnunua Aziz ki, Huku anakula Mshahara wa 23M Kwa Mwezi Mbali na marupurupu mengine.
30M zilitumika kumnunua Feisal, huku anakula Mshahara wa 4M kila Mwezi Mbali na marupurupu mengine.
Na ukiangalia Feisal Ndio Mchezaji Mwenye Mchango Mkubwa Yanga Kuliko Azizi Ki, na Ni fundi wa Mpira Kuliko Azizi Ki.
Pia mzawa .... Mimi naona Feisal apewe kiwango cha juu cha mshahara wake ... K**a vipi wamwachie tu atafute timu
Kutoka Kwa Mdau DM ✍️
Follow ukurasa wetu
05/03/2023
IDDY MOBBY AFARIKI DUNIA
Beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Moby Mfaume amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa daktari wa Hospitali ya Kampuni ya Mtibwa Sugar, Khalid Sabuni, Mobby alipata tatizo la kiafya jana (Machi 4, 2023) mkoani Morogoro wakati akiwa katika mazoezi binafsi ya barabarani (roadwork) kuelekea mchezo wao wa dhidi ya KMC.
“….akiwa anaelekea uwanjani, alianza kupata tatizo la kuumwa kichwa, kisha alisikia kizunguzungu na kutaka kuanguka lakini alipiga magoti”, amesema Dkt. Sabuni wakati akithibitisha kifo hicho.
Dkt. Sabuni amesema, Mobby alipelekwa katika hospitali hiyo ya kampuni, na kisha hospitali ya Bwagala kwa ajili ya matibabu zaidi lakini ilipofika usiku hali ilikuwa mbaya na hivyo kupewa rufaa kwenda Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma ambako umauti umemfika.
“…..alifika Dodoma usiku lakini kufikia mchana wa leo akawa amefariki”, amehitimisha Dkt. Sabuni.
Iddy alisajiliwa Mtibwa Sugar msimu huu akitokea Ruvu Shooting lakini aliwahi pia kuzichezea timu za Geita Gold, Polisi Tanzania, na Mwadui FC kwa nyakati tofauti na pia aliwahi kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’.
25/02/2023
RAJA CASABLANCA WAO WAMEJIHAKIKISHIA ROBO FAINALI
FT: RAJA CASABLANCA 🇲🇦 2-0 🇬🇳 HOROYA AC
43’—⚽️ Khamza Khabba
89’—⚽️ Naoufel Zerhouni
MSIMAMO WA KUNDI LA SIMBA SC
1.Raja Casablanca—9
2.Horoya AC—4
3.Simba SC—3
4.Vipers SC—1
Simba Sc anahitaji ushindi wa lazima kwa Horoya Fc na Vipers Sc Benjamin Mkapa Stadium Malengo yahamie klabu Bingwa waachane na Ligi kuu ambayo Yanga anawapita Points nyingi.
.com
Bingwa wa Ligi kuu Tanzania anachukua Million 100 na Nyongeza ya Million 500 kutoka kwa Azam huku mshindi wa pili akiondoka na million 50 za Nbc na Nyongeza ya Million 250 kutoka kwa Tajiri wa Azam.
Kutinga hatua ya Robo Fainali CAF Champions League unajihakikishia kitita cha Shilingi Bilioni 1 na Million 6 za Tanzania 🇹🇿.
25/02/2023
Like nyingi kwa mnyamaaa
25/02/2023
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄:
🏟️ Al Salam
Al Ahly 🇪🇬 0-1 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
⚽³⁵' Shalulile (P)
Al Ahly ipo nyuma 1-0 mpaka mapumziko dhidi ya miamba ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns katika dimba lake la nyumbani
HT' Raja CA 🇲🇦 1-0 🇬🇳 Horoya AC
.com
Emmanuel Mwakyembe Bondia mbabe zaidi mwenye umri mdogo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Address
Kinondoni
Dar Es Salaam
10000
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |