01/02/2024
Sheria za mpira wa miguu za mitaani Siku za zamani:
1. Hakuna mwamuzi.
2. Mchezo unaisha ama wakati wachezaji wamechoka au wakati wa Maghrib (machweo) ya kusali.
3. Matokeo ni 23-22.
4. Adhabu hutolewa iwapo mchezaji ataapa juu ya mungu.
5. Mtu mnene anakuwa golikipa π.
6. Mwenye mpira akikasirika anauchukua mpira, mchezo unaisha π.
7. Faulo huhesabiwa kila mmoja akikubali π.
8. The wal ni mchezaji mzuri na anaweza kuwa upande wa timu yako muda wowote π.
9. Mchezaji wa ziada anaruhusiwa ikiwa timu haziko sawa π
10. Makipa wanaweza kubadilishwa wakati wa mkwaju wa penalti π.
11. Mpira ukipita juu ya goli, mchezo unasimama kwa nusu saa kujadili k**a ni goli au la π.
12. Mwenye mpira huchezea timu yenye nguvu zaidi π.
Salamu kwa kila mtu ambaye aliishi kumbukumbu hizi nzuri β€οΈ
01/02/2024
BreakingNews:
YAMAL NA BENDERA 3 π
Lamine Yamal ana bendera tatu kwenye viatu vyake π
Hispania, ambapo alizaliwa πͺπΈ
Morocco, ambapo baba yake anatokea π²π¦
Equatorial Guinea, ambapo mama yake anatoka π¬πΆ
Yamal kachagua kuchezea timu ya Taifa Hispania
01/02/2024
Official: Kikosi cha Simba SC kimewasili kigoma
01/02/2024
Wolves vS United
βοΈ MATCHDAY
π°οΈ 20:15
π Premier League
01/02/2024
π¨RASMI
Juventus wamekamilisha usajili wa Carlos Alcaraz kutoka Southampton kwa mkopo kwa msimu uliosalia βοΈ
Ofa yenye thamani ya β¬3.74m na chaguo la kununua limeambatishwa, lenye thamani ya takriban β¬49.14m π°
31/01/2024
BREAKINGNEWS:
Idara ya afya katika klabu ya Real Madrid C.F. imeweka wazi kuwa Golikipa namba moja wa klabu hiyo Thibaut Courtois amepona kwa asilimia π― na ataanza kutumika kwenye Mchezo wa RO16 dhidi ya RB Leipzig kwenye mashindano ya UEFA Champions League mwezi ujao February. βͺπ΅
[Los Blancos] [The Madridistas]
31/01/2024
BreakingNews:
SAMWELI ETOβO YUPO MATATANI
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Barcelona, Chelsea na Inter Milan Samwel Etoβo amesh*takiwa kwa makosa 3 na Viongozi, π¨π² π.
Samwel Etoβo ambae ndio raisi wa FA ya Cameroon amesh*takiwa kuwa na makosa matatu baada ya timu ya Taifa ya Cameroon kuondolewa AFCON,βοΈ
βοΈ Samwel Etoβo anash*takiwa kwa upangaji wa matokeo, Vitisho vya Kimwili na kuchochea vurugu
Ikiwa itabainika kuwa na hatia kwa makosa kati ya hayo 3 atafutwa kazi k**a raisi wa Shirikisho la Michezo la Taifa la Cameroon na Faini kubwa, π¨π².
Source Athletic FC.
31/01/2024
BREAKINGNEWS:
Raisi Wa shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA.com Aleksander Caferin amethibitisha rasmi kuwa hakuna fainali yoyote ya UEFA Champions League Wala UEFA Europa League itachezwa nchini Saudi Arabia kipindi yeye akiwa Bado ni raisi Wa shirikisho hilo. βπΈπ¦
31/01/2024
ππππ ππππππ π
πππππππππ 2024
KICK-OFF
SIMBA SC 1 - 0οΈβ£ TEMBO FC
31/01/2024
Official Kikosi cha Simba SC dhidi ya Tembo FC.
31/01/2024
Video ikionyesha
Bondia wa Ngumi za kulipwa alipowasili katika ofisi ya Rais kumletea Mkanda wa (WBO) African Champion alioshinda tarehe 27.01.2024 baada ya kupigia Bondia Elvis kutoka Ghana.
Bonyeza hapa πkutazama eng.hersi na MWAKINYOπ
HASSAN MWAKINYO AKABITHI MKANDA WA (WBO) AFRICAN CHAMPION KWA RAIS WA YANGA ENG.HERSI SAIDI
31/01/2024
HAWA NDIO WAKALI WA KUIGIZA UGANGA KWA SASA.
Moja kati ya wakali wa kucheza movie za uganga na wanafanya vizuri sana katika kazi zao.
(1).. huyu hapa mwamba alionekana kwenye movie ya KITALE Maneno ya Kuambiwa Anaitwa CHILI AkA yake kwenye movie hiyo aliitwa MWINYI MKUU
(2)...huyu hapa mwamba alionekana kwenye movie ya CLAM VEVO snake boy anaitwa MWAKATOBE AKA yake kwenye hiyo movie aliitwa NTIBA
JE ni nani Mkali Kwa upande wako alie kufurahisha zaidi?