10/12/2020
Chama K**a chama
Hili Group ni Kwaajili Ya Mashabiki Wa Simba sports club Na Pia Hatutaki Matusi Wala Picha chafu.
10/12/2020
Chama K**a chama
09/12/2020
Match day
Simba Vs Polisi
Saa Moja Usiku Kwa Mkapa
07/12/2020
Chuma kimeshaanza Kazi
07/12/2020
Tunarudi Kwenye Ligi Sasa Kula Vipolo vyetu...
04/12/2020
Ipo siku Kila Mtu Ataishabikia Simba.....
02/12/2020
Vile Tutakavyo wacheka Wanaijeria Na Hao Wengine Jmosi Kwa Mkapa Baada Ya Mchezo Wetu Kuisha.
01/12/2020
Nawaza tu Kitakacho wakuta Hao wanaijeria Jmosi Kwa Mkapa..