Uwanjani Leo

Uwanjani Leo

Share

Kuhusu michezo

14/03/2022

Ng'ombee wa Manun'gu afikaaa jangwani

14/03/2022

Klabu ya Fc Barcelona ipo karibu kukamilisha dili la mlinzi wa Ajax fc iliyopo uholanzi Naussair Mazrour...dili hilo linatabiliwaa kumalizikaa mwishoni mwa msimu huu na kujiunga na miamba hiyo ya Hispania kwa usajili uhuru

Photos from Uwanjani Leo's post 14/03/2022

Like brother...like young

14/03/2022

#28 Aishi Manula

14/03/2022

Mshambuliaji mpya wa RC Berkane ..Fiston Abrudrazakh licha ya timu yakee kupoteza kwenye mchezo wa jana dhidi ya Simba Sc kombe la shirikisho bado ana imani kuwa Timu yakee imeshinda mchezo ule kutokana na maamuzi ya refa kuonekana hayajawafurahisha kwa upande wao..

Photos from Uwanjani Leo's post 14/03/2022

Magazeti ya leo

13/03/2022

The GOAT

13/03/2022

Ujumbe wa Cesc Fabregas na Luis Suarez kwa Messi na Neymar baada ya kuzomewa na mashabiki kwenye league 1 huko Ufaransa

13/03/2022

Ujumbe wa mchezaji wa zamani wa fc barcelona pamoja na Aresanal Cesc Fabregas kwa Lionel Messi Pamoja na Neymar baaada ya kuzomewaa na mashabiki katika mchezo wa leaguee 1 PSG dhidi ya Bourdeaxe...pia ujumbe wa Mchezaji mwenzao wa zamani waliokipiga kwa pamoja katika klabu ya Fc Barcelona Luis suarez

13/03/2022

Mtoto wa kijerumani Kai Havert amewaongezea tena point klabu yake ya chelsea fc dhidi ya Newcastle katika dakika ya lala salama ya "88 na kufanya wazidi kuwasogelea liverpool fc ambayo inashika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi kuu ta England ikiongozwa na vijana wa Pep Guardiola Manchester City

13/03/2022

Ni kocha huyo wa klabu ya Yanga Sc akifuatilia mtanange wa Simba Sc dhidi ya RC Berkane hii leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Toangoma
Dar Es Salaam
SLP501