Seker sports wide

Seker sports wide

Share

SEKER SPORTS NI GROUP LA HABARI ZA MICHEZO

24/08/2024

AZAM FC YAONDOLEWA KATIKA LIGI MABINGWA AFRIKA

APR inasonga Hatua inayofata Katika Ligi ya Mabingwa Afrika Baada ya Ushindi mnono Nyumbani wa Magoli Mawili Kwa Nunge na kufanya aggravate kuwa 2-1, Azam FC wanashindwa Kufua Dafu Ugenini

FT: Azam FC 0-2 APR FC
Aggravated (1-2)

Azam FC na Michuano ya CAF ni paka na panya , Rasmi Tanzania inabaki na Timu Moja Katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa 😢

24/08/2024

ALERT!🔥

Klabu ya FC AUGSBURG

Inayoshiriki Michuano ya Ligi Kuu ya Bundesliga Nchini Germany,
Iko mbioni katika kuja kumaliza taratibu zote za Kumnasa Mshambuliaji Kinda Mzawa anaye kipiga katika Kikosi cha
Young Africans SC,
Clement Waleed Mzize "Mwanza Finest"

Miamba Hiyo Imewasilisha OFA mezani ya kiasi cha £ 3,000,000 (Euro Milioni 3) ambazo ni Zaidi ya Shilingi za Kitanzania
Bilioni 8.93 🔥

Inatazamiwa ya Kwamba Ofa hiyo Nono waliyoiweka Mezani kwa YOUNG AFRICANS SC, Ndiyo sababu ya Mabosi hao wa
Miamba ya Soka ya Afrika Mashariki na Kati Kuwazamisha Gizani Mabosi wa
Wydad Casabrança Baada ya Kupigwa Kikumbo Kwa Ofa yao ya Awali ya
Tsh 1.8 Bilioni,

Dili Hili Likikamilika, litakuwa limeinua Maendeleo ya Thamani ya Wachezaji wazawa,
Lakini pia Litainufaisha Klabu ya Young Africans SC kuwa na Msuli mnene wa Kifedha

K I L A H A T U A D U A
🙏💚🇹🇿

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Kitunda
Dar Es Salaam