30/03/2023
Ndugu zetu, jamaa zetu, rafiki zetu wa muda wote Arnabu jogging club
Tunawapenda sana
Nakumbuka tulipokutana Iringa mlitupa sapot kubwa sana
Hasa mlipokuja kujoin nasi, hakika tulifurahi sana
Hatutaacha kuwapenda daima
30/03/2023
Deal done
Leo tulikua na tukio la utiaji sign
Kati ya viongozi wa Km sports club na wadhamini wa Bonanza letu Triple A sports & promotion
29/03/2023
Rafiki zetu, ndugu zetu, jamaa zetu na nifamilia yetu pia
VIMO JOGGING tunawapenda sana
29/03/2023
Michezo kwa afya
Tunawakaribisha kujoin nasi
Kila siku za weak
Katika viwanja vyetu vya
Kikosi maalum ukonga magereza