05/07/2026
K**a unahisi mkewako anakuchiti au vipi wewe njoo huku kwenye page yetu ya mitandao huku natoa trik mbalimbali
Mfano:
Kuona SMS za mpenzi wako bila yeye kujua
Kuona namba zote zilizopigwa kwenye Sim ya mpenzi wako
Kutumia VPN ya bure k**a upo Tanzania inasoma upo nchi nyingine na hii ni k**a unataka utumie Telegram maana Tanzania Hairuhusiwi n. K
Follow page hiiπ nolly one
05/07/2026
Walikuja k**a Taifa dogo lenye watu 600,000/ ambao wachache kuliko wakazi 8,000,000 (8M) wa Dar es Salaam, hawakupewa hata nafasi kufika hatua ya makundi, wanaondoka k**a Mashujaa wa Kombe la Dunia na historia itawakumbuka.
Walikuja na Captain wao JOSIMAR JOSE EVORA DIAS βVozinhaβ Miracle-Wall ambaye mechi ya kwanza licha ya kiwango bora kiwanjani na kuwashangaza Spain, stori ya mamake kukosa pesa ya Visas ilizagaa kiasi yeye kuweka historia kwenye mtandao wa Instagram baada ya kuanza mechi akiwa na wafuasi 50,000/ TU lakini anaondoka akiwa na wafuasi 17M na mamake alikuja kuona mechi zlizosalia mpaka ya jana dhidi ya Mabingwa watetezi Argentina ya Messi.
Afrika imewakilishwa vyema na Cabo Verde na tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao.
Ila huyu Dsn Technology anajua kuwakera watu jamani ebu tembeleeni page yake muoneπ
04/07/2026
π ASANTE SANA FAMILIA YANGU! β€οΈπ
Leo tumefikisha 10,000 Followers! Hii si namba tu, bali ni ushahidi wa upendo, sapoti na imani yenu kwangu. Kila like, comment, share na follow yenu imenifanya nizidi kupambana kila siku.
Naahidi kuendelea kuwaletea content bora zaidi, hasa kuhusu mpira wa miguu. Safari bado ni ndefu, na ninafurahi kuwa mnaendelea kuwa sehemu yake.
Asanteni kwa kuniamini. Tunasonga mbele pamoja! β€οΈπ₯
π² Nifollow kwenye kurasa zangu zote: nolly one
02/07/2026
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, PRINCE DUBE amesaini mkataba na timu ya Hardrock FC ya nyumbani kwao Zimbabwe kwa miaka miwili.
Prince Dube amesaini Hardrock FC baada ya kumaliza mkataba wake na Yanga SC.
Hardrock FC imepanda Ligi Kuu ya nchini Zimbabwe kwa msimu ujao na ni timu ambayo inamiliki uwanja wake mwenyewe mkubwa.
Kwenye picha hiyo ni mmiliki wa Hardrock FC na Prince Dube.
02/07/2026
π₯Άπ€·π½ββοΈ "SHINIKIZO? MIMI NALIPENDA!"
π Lamine Yamal amesema hafikirii shinikizo k**a tatizo, bali k**a sehemu ya wajibu wake uwanjani.
π£οΈ "Ninaelewa kwamba mwisho wa siku, mashabiki watakuwa na matarajio makubwa kwa mchezaji anayewapa matumaini na furaha zaidi, yule wanayeamini anaweza kubadili mchezo."
π "Ninavaa jezi namba 10 ya Barcelona. Mimi ni winga ambaye watu wanaamini anaweza kubadilisha mchezo wakati wowote. Lakini hilo linanifurahisha. Niamini, mimi napenda kuwa chini ya shinikizo." ππ₯
π¬ "Shinikizo linakuwa tatizo pale tu unaposhindwa kufanya kile ambacho watu wanatarajia kutoka kwako. Mimi naamini nina uwezo wa kufanya kile wanachotarajia kutoka kwangu." β€οΈβπ₯
Follow π nolly one
30/06/2026
Ameandika mchambuzi π nolly one
π¨Niliwahi kumsikia beki mmoja akisema kwamba ndio winga msumbufu kwenye ligi yetu, ila ata huyu ni winga msumbufu ambae anawapa wakati mgumu sana mabeki wa hizi timu za ligikuu mfano mzuri ni katika mechi ya derby ya kariakoo tuliona beki wa kushoto wa uto alivyopata shida kumkaba
Itoshe kusema hawa ndio mawinga bora wa msimu huu, k**a kuna wakubisha abishe akiwa na maelezo yaliyo nyooka
Na k**a hujaona hatari zao basi nenda kakaechini na beki wa kushoto wa utopolo muulize vizuri kuhusu π
Kwa uchambuzi mzuri follow page π nolly one
nolly one nolly one nolly one