04/02/2024
Real Madrid watawakaribisha Atletico Madrid kwa mara ya 3 sasa kwa msimu huu. Michezo yote miwili waliyopoteza Madrid msimu huu ni dhidi ya Atletico. Wakitolewa kwenye Coap Del Ray. Je Real Madrid watajipata na kushinda huu mchezo au Atletico wataongeza kipigo cha pili kwa Madrid kwenye La liga.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
04/02/2024
The gunners wanarudi kucheza na Liverpool kwa mara ya 3 msimu huu.Timu zote zinafukuza ubingwa kupoteza mchezo kwa yeyote hapa kunampa faida kubwa sana Manchester city ambao wanauchungulia ubingwa wakiwa nafasi ya 2. Ni liverpool kubaki kilele au City wataokota dodo.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL
04/02/2024
Vita kileleni, Inter watakuwa nyumbani dhidi ya Juventus kwenye Serie A, Inter ameshinda mchezo 1 kwenye michezo yao 5 walipokutana na Juventus. Wakitoka sare mara mbili na kupoteza mara mbili. Je Juventus watafuta uteja au Inter ataendeleza tabia yake ya kushinda.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
04/02/2024
Manchester United wanautaka sana ushindi kwa kuwa wapo nje ya timu 6 za juu. West Ham na wao wanataka kujihakikishia ushindi mbele ya Red Devils na kuendelea kukaa salama wakiwa na matumaini ya kumaliza ndani ya top 5
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL
03/02/2024
Girona ni shingo kwa shingo na Real Madrid kwenye ubingwa wa Hispania, watahitaji alama 3 nyingine au wamuache Real Madrid aongeze alama zaidi. Real Sociedad watahitaji kushinda ili kujihakikishia nafsi yao kwenye msimamo au Real Betis wakae juu yake.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
03/02/2024
Tottenham wanataka kurejea kileleni huku nyota wake wakiwa wamerejea kikosini, Everton na wao vita ya kubaki ligi kuu imeshika kasi. Brighton wanataka alama 3 kusitisha jinamizi la kupoteza michezo. Furham wanaona ushindi mweupe mbele ya ya Burnley. Newcastle wana kimeo na Luton wasumbufu na wanatoa matokea ya kushangaza. Villa baada ya kichapo wanataka kujituliza kwa kupata japo alama 3 kwa matumaini ya kurudi kwenye mbio za ubingwa.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL
02/02/2024
Hatua ya robo fainali sasa, Miamba Nigeria watakuwa na Timu yenye muunganiko mzuri Angola wakati Congo wataoneshana ufundi na wabishi wa Guinea, Timu zote hizi hazikupewa nafasi kubwa kuvuka kwenye makundi yao lakini ndio hawa hapa sasa.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
02/02/2024
Dortmund wanatafuta kusogea hadi nafasi ya 3, mbele ya Stuttgart ili kurejea kwenye mbio za ubingwa. Bilbao kujihakikishia nafasi ya 5 na hata kusogea nafasi ya 4, Mallorca wakisalia kwenye kwenye mstari wa kushuka daraja. PSG wapo mbele kwa alama 6 na wanataka kuendelea kubaki kileleni, Strasbourg wao wakienda michezo 5 bila kupoteza wanapokutana na PSG. Fiorentina na wao wanataka kujisogeza hadi nafasi ya 4.
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
01/02/2024
Al Nassr watakutana na Inter Miami na kurudisha mpambano mkali wa GOAT wawili, Ronaldo vs Messi, Nani ataondoka kifua mbele, Itakuwa Inter Miami au Al Nassr?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
01/02/2024
United wanahitaji ushindi kwa sana, kwa sasa wapo nafasi ya 8 kwenye EPL.wolves wapo nafasi ya 11 na wakishinda dhidi ya Rad Devil, watakaa mbele yao. United wameshinda mara 4 kwenye michezo yao 5 walipokutana na Wolves, wanatazamia kuendeleza rekodi yao.
Cheza Sasa: bit.ly/BetOnEPL
01/02/2024
Real madrid wapo karibu kurejea tena kwenye uongozi wa Laliga, wapo alama 1 nyuma ya Girona wakiwa na mchezo mmoja ambao ndio huu wanaenda kucheza. Je watapata alama za kuwarudisha juu au watamuachia Girona atambe?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames
31/01/2024
Afrika imezalisha nyota wa maana sana, wakati Ulaya wana Ronaldo na South Amerika wana Messi, Maradona, Pele na Nazario. Nani unadhani anaweza kuwa GOAT wa mpira wa afrika? Kuanzia kizazi cha kina Eto’o , Tumeweka baadhi yao kwenye orodha, unakubaliana nayo? Nani ungemtoa na ungemuweka nani?
Cheza Sasa: bit.ly/BookeebetGames