Mikanda ya Tumbo original

Mikanda ya Tumbo original

Share

Belt and bodyshapers dealer

25/02/2026

SAUNA DOUBLE COMPRESSION BELT🔥
Belt imara yenye materials halisi ya latex yenye kuzalisha joto uvaapo (kuharakisha uchomaji wa mafuta na kupunguza tumbo na nyama za mgongo na kiuno)
✅SIZE: S M L XL XXL # #

✅PRICE: 95,000/= (Long lasting belt)

=> kwanini utumie belt hii??🤔
📌Inabana mara mbili zaidi yaani ina hooks (njia tatu) ndani na kubana kwa zip imara juu hivyo kukupa uhakika wa kupungua kwa tumbo na nyama zembe

📌Ina material imara yasiojikunja wala kuumiza, material yenye joto linalo saidia ufanyaji kazi wa mkanda na kumaliza changamoto ya tumbo na nyama za kiuno

📌Inasaidia kupunguza maumivu ya mgongo na ni rahisi kufanyia mazoezi mepesi na mazito, kushinda nao nyumbani au kazini😍

📌belt hii mbali na kupunguza tumbo inakupa shape nzuri ya kiuno, lakini pia unaweza valia nguo yoyote na usijichore kwenye nguo

📌Ina materials imara (unfolding material) ina steel bones nyingi zinazosaidia mkanda usijikunje wala kuumiza

Umepata idea kidogo? Eeh🤔

Lastly: ni long lasting belt yaani uimara wa materials zipp hooks 100% ✅ ☺️☺️ weka order mapema mwaya🥰🥰

☎️0768 820 275 Call or WhatsApp us

✅DELIVERY: 3,000 (normal)

✅FAST DELIVERY: Boda depending na eneo ulilopo

✅MIKOANI: 5,000 au 10,000

NB: ZINGATIA QUALITY❤️

25/02/2026

TAITI BANA TUMBO YENYE HOOKS IMARA 👌💕💕
❤️❤️ Mzigo mpya wa taiti bana tumbo yenye mkanda juu unaobana vizuri na kukufanya kuwa huru, ina hooks imara na materials mazuri yenye uhakika wa kubana tumbo

PRICE: 35,000/=

SIZE: M/L XL/XXL 3XL

DELIVERY: 3,000 (normal)✅

FAST DELIVERY: Boda itategemea na eneo ✅

DETAILS👇👇

🎯Inabana vizuri zaidi
🎯Inashape vizuri
🎯Inabana nyama za kiuno
🎯Inasaidia kubana tumbo
🎯Ina materials mazito
🎯Ina size zote M L XL XXL

📌📌ZINGATIA QUALITY🤏🤏

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍MSIMBAZI POLICE/OPPOSITE DAVID SPORTSWEAR

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONII🗣🗣🗣🗣💥💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU ☺️☺️❤️❤️❤️

01/02/2026

NIKUPE SIRI??🤔🤔JE,? UNAIJUA SIRI YA KUPUNGUA TUMBO KWA UHAKIKA BILA KUTUMIA NGUVU?? BASI NAKUPA SIRI YA VITU VINNE (4) VYA KUZINGATIA UNAPODHAMIRIA KUPUNGUA TUMBO😌😌

PRICE: 75,000/= strong and durable belt ever✅

SIZE: S M L XL XXL # #

DETAILS:👇👇

📌Zingatia quality sahihi ya materials ya mkanda unaonunua
📌Hakikisha thickness (unene) wa material ya mkanda isiwe chini ya 4.00mm na weight (uzito) wa mkanda usiwe chini ya kiwango hitajika
📌Kisha hakikisha umepata size sahihi kulingana na tumbo na mwili wako
📌Hakikisha umevaa mkanda wako sio chini ya masaa 8 kwa siku (12 hrs ukiweza)
📌Mwisho hakikisha mkanda unaonunua unashika na kubana vizuri sehem zote 3 za tumbo (chini,kati na juu)

Umepata kitu eeh??😅😅 Oky tumalizie hapa sasa tuna hii belt ya tripple compression belt ambayo ina sifa zote tajwa hapo juu😊😊 karibu tukupe belt sahihi kulingana na uhitaji wako 👇👇👇

TRIPPLE COMPRESSION BELT🗣🗣🗣✨✨✨✨ (MKANDA WA KUFUNGA MARA TATU) Kiboko ya matumbo aina yote👌👌 iwe tumbo la uzazi au la kawaida (litokanalo na vyakula + vinywaji) tripple compresion belt inabana na kumaliza tumbo la chini kati na juu kwa uhakika na ubora wa mkanda wetu

DELIVERY: elfu 3,000/= (Normal)✅

FAST DELIVERY: Boda itategemea na eneo✅

MIKOANI: 5,000/= au 10,000/= ✅

‘’ZINGATIA QUALITY’’

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍MSIMBAZI POLICE OPPOSITE DAVID SPORTSWEAR JIRANI YA MSIKITI WA IDRISA 👍

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONII 🗣🗣🗣🗣💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU😊😊😊❤️❤️

21/12/2025

FLAT TUMMY TEA & SLIMMING TEA🗣🗣🔥🔥
Hii ni detox maalum iliyotengenezwa kwa mfumo wa majani ya chai yenye uhakika wa kupunguza tumbo kwa uharaka na njia asilia bila madhara yoyote kiafya!!
……………………………………………………………………………………………………..

NB: Flat tummy tea itakusaidia kupunguza tumbo kwa uhakika ndani ya siku 28’ ukitumia pakti moja kila siku👍

Slimming tea yenyewe ni special kwa kupunguza mwili mzima, na matumizi yake utatumia pakti moja kila siku kwa siku 28’ na kupata matokeo mazuri👍

Price: 35,000 fixed

Delivery: 3,000 normal

Fast delivery boda: inategemea na eneo ulipo

Mikoani: 5,000 au 10,000 🚚🚚✈️

☎️0768820275 Call/WhatsApp

📍📍TUPO MSIMBAZI POLICE KARIAKOO

21/12/2025

TAITI YA KUONGEZA TAKO NA HIPS👌👌
Hii inakusaidia kuongeza tako na hips na inabana tumbo kwa wakati mmoja 😍😍😍😍 yaani unapata vitu vitatu kwa taiti moja kwanza inakubana tumbo vizuriii👌👌👌 kisha inakutengenezea tako 😊😊😊😊 halafu haitoshii inakupa na hips 👌😍

Yaan huna haja ya kuikosa una kigauni chako, sketi yako au surualii yako😍 unavaa na kudamshiii vizurii sana yaani pambee👌👌 watoto wa mjini hawaikosiii hii 😂😂😂👌em weka order my wangu

Bei: 35,000/= Tu.

📌📌ZINGATIA QUALITY🤏🤏

Delivery: 3,000 mikoani 5,000 au 10,000 inategemea na mkoa

FAST DELIVERY: BODA inategemea na eneo ulipo

☎️0768820275 Call/WhatsApp. Tunapatikana msimbazi police kariakoo

TUPO WAZI HADI SAA 1:00 JIONIIII 🗣🗣💥💥💥💥

KARIBU DUKANI MTEJA WETU ☺️☺️☺️❤️❤️

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Msimbazi Police Street
Dar Es Salaam