Msingwa Veterans Sports Club

Msingwa Veterans Sports Club

Share

Official page account of Msingwa Veterans. Mbezi kwa msuguri, Msingwa street,
Dar es salaam Ubungo Municipal,
Tanzania

12/10/2022

Msingwa Veterans

Tangazo la Mechi,

Ijumaa hii ya kesho kutwa tarehe 14 siku ya Nyerere day tutakuwa na mechi kati ya :

Msingwa Veterans VS Kibaha Maili moja Veterans

Mechi itachezewa uwanja wa MAILI MOJA KIBAHA baada ya hapo tutabaki kwa ajili ya kikao kifupi cha maendeleo ya timu tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa naomba tuje Msingwa shule mapema asubuhi saa moja na nusu kwa wingi.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans.
12/10/2022

15/09/2022

Msingwa Veterans

Tangazo la Mechi,

Jumapili hii inayokuja tarehe 18 saa 08:30 asubuhi tutakuwa na mechi bonanza dogo la ujirani mwema:

1.Msingwa Veterans vs Saranga Veterans

2.Temboni Veterans vs Suca Veterans

Mechi zote zitachezewa uwanja wa *BWALONI* tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa naomba tuje Msingwa kwa wingi hakutakuwa na kiingilio kutakuwepo na maji na supu maeneo ya darajani.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans.
15/09/2022

15/09/2022

Jumapili hii si ya kukosa mziki mnene karibuni kupata burudani ya kabumbu kutoka kwa wazee waliokipiga zamani.

15/09/2022

Msingwa Veterans

Tangazo la Mechi,

Jumapili hii inayokuja tarehe 18 saa 08:30 asubuhi tutakuwa na mechi bonanza dogo la ujirani mwema:

1.Msingwa Veterans vs Saranga Veterans

2. Msingwa Veterans vs Temboni Veterans

Mechi zote zitachezewa uwanja wa *BWALONI* tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa naomba tuje Msingwa kwa wingi hakutakuwa na kiingilio kutakuwepo na maji na supu.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans.
14/09/2022

Photos from Msingwa Veterans Sports Club's post 27/06/2022

Msingwa Veterans

Tangazo la mechi

Siku ya jumapili tarehe 03/07/2022 tutakuwa na mechi kati ya :

Golani Veterans vs Msingwa Veterans

Uwanja wa GASABILE muda wa saa 2 : 30 asubuhi tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected],
Msingwa Veterans.

09/06/2022

*Msingwa Veterans*

*Tangazo la mechi*

Siku ya jumapili tarehe 12/06/2022 tutakuwa na mechi kati ya :

*Msingwa Veterans vs Chamanzi Veterans*

Uwanja wa *UHURU* muda wa saa 2 : 30 asubuhi tujitahidi kuwahi nyote mnakaribishwa.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected],
*Msingwa Veterans*

28/05/2022

Msingwa Veterans

Matokeo ya bonanza

Tabata Shule Veterans 0 vs 1 Msingwa Veterans

Mfungaji Msingwa
1. Alphonce Shija
_Assist_ - Haruna


Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans

Photos from Msingwa Veterans Sports Club's post 27/05/2022

Msingwa Veterans ;

Tangazo la mechi,

Kesho jumamosi tarehe 28/05/2022 tutashriki bonanza la mkuu wa Mkoa Dsm Bwn Amosi Makalla ;

Viwanja vya tabata sigara mechi zitaanza majira ya saa 2 : 00 asubuhi nyote mnakaribishwa.

Wakati huo huo tujiandae na bonanza la v5 litakalofanyika kesho yake jumapili 29/05/2022.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected],
Msingwa Veterans.

18/05/2022

Msingwa Veterans

Tangazo la mechi

Jumamosi tarehe 21/05/2022 tutakuwa na mechi kati ya ;

Msingwa Veterans vs Ulinzi Veterans

Uwanja wa JK park kidongo chekundu mechi itaanza majira ya saa 2 : 00 asubuhi nyote mnakaribishwa.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected],
Msingwa Veterans

16/05/2022

Maelekezo kutoka kwa kapteni baada ya kwenda half time 0 - 0 na badae kipindi cha pili kuibuka na ushindi wa 1 - 3 dhidi ya kinyerezi Veterans.

Photos from Msingwa Veterans Sports Club's post 15/05/2022

Msingwa Veterans

Matokeo ya mechi

Kinyerezii Veterans 1 vs 3 Msingwa Veterans

Wafungaji Msingwa
1. Haruna
assist - Mollel
2. Salum Mshamu (Zuga)
(Pen)
3. Paul Chiute
Assist - Haruna


Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
[email protected]
Msingwa Veterans

11/05/2022

MSINGWA VETERANS

Tangazo la mechi

Jumapili tarehe 15/05/2022 tutakuwa na mechi kati ya ;

Kinyerezi Veterans vs Msingwa Veterans

Uwanja wa kinyerezi mechi itaanza majira ya saa 2 : 00 asubuhi nyote mnakaribishwa.

Taarifa kutoka,
Idara ya habari na mawasiliano,
Msingwa Veterans.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address


Mbezi
Dar Es Salaam