Viwango vya vilabu kumi Afrika baada ya miaka 5 iliyopita mpaka 2022-23 mpaka kumalizika kwa nusu fainali ya ligi ya Mabingwa Afrika na kombe la Shirikisho
1. Al Ahly — 78 points
2. Wydad — 74 points
3. ES Tunis — 56 points
4. Sundowns — 51 points
5. Raja — 51 points
6. Zamalek — 39 points
7. RS Berkane — 37 points
8. CR Belouizdad — 36 points
9. Simba — 35 points
10. Pyramids — 35 points
Source Mickyjunior
Mwananchi News
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwananchi News, Sport & recreation, P. o. box 1456, Dar es Salaam.
KISA VITA MASTAA AL HILAL KUSEPA
Miamba ya soka nchini Sudan, klabu ya Al Hilal 🇸🇩 inatarajia kupoteza baadhi ya nyota wake kutokana na vita inayoendelea katika nchi hiyo huku ikiwa haijulikani ni lini hali ya amani itarejea.
Baadhi ya klabu zimeanza mazungumzo ya moja kwa moja na viongozi wa Al Hilal ili kupata huduma ya mastaa k**a 🇨🇩 Makabi Lilepo, 🇬🇲 Lamine Jarjou, 🇬🇭 Imoro Ibrahim, 🇨🇮 Issa Fofana, 🇨🇩 Fabrice Ngoma na 🇸🇩 Mohamed AbdelRahman.
Follow ukurasa wangu mwananchi mwenzangu 🙏🙏🙏
Simba Jana walibebwa dhahiri na refaree kipa alivamiwa na kuchezewa rafu lakini Tatu malogo akapeta
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
P. O. Box 1456
Dar Es Salaam