20/06/2021
MASHABIKI
"Lilikuwa ni suala la muda tu maana yule Tuisila ni k**a Ferari mazoezi yake ni zaidi ya kasi ya Ferari Mwadui wameshashuka Daraja" Mashabiki wa Yanga baada ya ushindi wa Mabao 3-2 dhidi ya Mwadui leo.