25/01/2023
Mwanaume pambana na maisha yako usikae kusimanga wenzako
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mndiga sports, Sport & recreation, mndigawaziri5@gmail. com, Dar es Salaam.
25/01/2023
Mwanaume pambana na maisha yako usikae kusimanga wenzako
23/01/2023
π ππ§ππ πππ¬π°
β½οΈ Young Africans SCπRuvu Shooting
π 23 January 2023
β± 01:00 Usiku
π Uwanja wa Benjamin Mkapa
π
23/01/2023
Mshambuliaji mpya wa club ya simba jean baleke jana amefanikiwa kuanza vyema safari yake ya kisoka katika ligi kuu ya NBC premier league kwa kuifungia goli club yake ya simba na kupata ushindi wa gori moja dhidi ya Dodoma jiji
22/01/2023
π²π¦ Achraf Hakimi ametangazwa Mchezaji Bora wa Kiarabu katika Tuzo za Joy 2022 huko Riyadh πΈπ¦
Alipanda jukwaani na mama yake kwa ajili ya tuzo.
Sote tuwafanyie fahari mama zetu siku moja. Amina! π??β€οΈβ¨
# mndiga Sports
22/01/2023
Licha ya kuandikiwa barua ya kutakiwa kurejea kikosini baada ya kesi yake kumalizika, Kiungo Feisal Salum Fei Toto yuko zake Zanzibar.
Mtendaji Mkuu wa Yanga Andre Mtine, alimuandikia barua Fei ya kumtaka kurejea kikosini baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kutamka kuwa mchezaji huyo ni halali wa Yanga kwani bado ana mkataba mpaka mwaka 2024.
Lakini Feisal ameonekana akiendelea na mambo mengine huko Zanzibar bila kuripoti kambini Yanga k**a alivyotakiwa.
Sports
22/01/2023
Manchester City wamekamilisha usajili wa kipa wa Argentina MΓ‘ximo Perrone - hati zimesainiwa kwenye klabu/upande wa wachezaji, hapa tunaenda kuthibitishwa π¨π΅π¦π·
Perrone anajiunga na Man City hadi Juni 2028 kutoka VΓ©lez - mkataba uliokamilika k**a ulivyofunuliwa Desemba, ambao umekamilika na rasmi hivi karibuni
Source: Fabrizio Romano
ΒΆ *By mndiga Sports Sports β½*
22/01/2023
Rio Ferdinand kuhusu Mykhailo Mudryk:
βNi usajili ambao utawavutia sana kwa mashabiki wa Chelsea na nina uhakika kutakuwa na mashabiki wa Arsenal ambao watasema 'Oh Mungu wangu, tulimuachaje huyu mchezaji aende timu nyingine badala yetu?'β
ΒΆ *By mndiga Sports β½*