Tiba asili

Call Directions Website

Tiba asili Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tiba asili, Mlimani city, Dar es Salaam.

Hii ni page ya tiba asili za kimarekani, utajifunza magonjwa na mambo mengi kuhusu afya zetu pamoja na suluhisho la magonjwa mbalimbali, kama presha, kisukari, shida za mifupa na maungio, bawasili, vidonda vya tumbo, nguvu za kiume, tezi dume, pid,uzazi Bf Suma ni kampuni ya kimataifa iliyojikita katika tafiti na maendeleo ya kijamii, uzalishaji na usambazaji wa bidhaa lishe asilia zisizo na kemikalu zenye kukinga na kutibu magonjwa mbalimbali Kama shida zote za uzazi kwa wanaume na wanawake, vidonda vya tumbo, bawasili, gesi tumboni nk, shida za mgongo, maunhio na mifupa kwa ujumla, kisukari, presha , vimbe, Kansa,kupunguza uzito na manyama uzembe, kuondoa sumu na kuimarisha Kinga za mwili

16/10/2026

unatakiwa utumie tiba itakayosaidia kupambana na insulin resistence na sio kupambana kuongeza insulin kwenye damu...mimi nimtalamu wa tiba lishe na life style medication nina wasaidia watu wengi kuoondokana na adha ya kisukari na magonjwa mengine yanayosababishwa na life style nichek inbix sasa uondokane na mateso

Whatsapp/call 0716843582

15/10/2026

Leo ndo ile siku ya beauty club hongereni wanawake wa bright future

Hongera sana kwa kupanda rank! πŸŽ‰πŸ”₯ Hii ni ishara kwamba juhudi zako zinaanza kuzaa matunda. Usiridhike na hapa ulipofika,...
14/10/2026

Hongera sana kwa kupanda rank! πŸŽ‰πŸ”₯ Hii ni ishara kwamba juhudi zako zinaanza kuzaa matunda. Usiridhike na hapa ulipofika, kuna nafasi kubwa zaidi mbele yako. Endelea kujifunza, kufanya kazi kwa bidii na kuwainua wengine. Rank uliyofikia ni mwanzo tu, bado kuna ushindi mkubwa mbele yako! πŸ’ͺπŸ† Tunasonga mbele, hakuna kurudi nyuma! πŸ”₯​ @19023081242730 Lets Go Champion

Dalili za kuvimba kwa tezi dume (prostatitis)/(Bph) 1 Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku.2 Maumivu au kuwaka wakati wa ku...
12/10/2026

Dalili za kuvimba kwa tezi dume (prostatitis)/(Bph)

1 Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku.
2 Maumivu au kuwaka wakati wa kukojoa.
3 Ugumu wa kuanza kukojoa au mkojo kutoka kwa mtiririko mdogo.
4 Kuhisi kibofu hakijaisha mkojo baada ya kukojoa.
5 Maumivu sehemu ya chini ya tumbo, kinena, au mgongoni.
6 Maumivu kwenye korodani au eneo kati ya korodani na njia ya haja kubwa.
7 Maumivu wakati wa kumwaga mbegu za kiume (ej*******on).
8 Homa, baridi, na uchovu (hasa ikiwa kuna maambukizi ya bakteria).
9 Mkojo wenye damu au mbegu za kiume zenye damu (kwa baadhi ya wagonjwa).

Dalili hizi zinaweza kufanana na matatizo mengine ya tezi dume, hivyo ni muhimu kufanya vipimo hospitalini k**a vile uchunguzi wa daktari, kipimo cha mkojo, na wakati mwingine kipimo cha PSA ili kubaini chanzo halisi cha tatizo.

Whatsapp/call +255716843582

06/10/2026

Wahi tiket yako mapema

Menopause (kukoma hedhi) ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kupata hedhi kutokana na kupungua kwa homoni za estrogen na...
05/10/2026

Menopause (kukoma hedhi) ni kipindi ambacho mwanamke anaacha kupata hedhi kutokana na kupungua kwa homoni za estrogen na progesterone. Kwa kawaida hutokea karibu miaka 45–55.
Dalili zinazoweza kuonekana ni:
πŸ”΄ Hedhi kubadilika β€” kuwa nyingi/kidogo, kuchelewa au kuruka miezi.
πŸ”₯ Hot flashes β€” mwili kupata joto ghafla, hasa usoni na kifuani.
πŸ’¦ Kutokwa jasho usiku.
😴 Usingizi kuvurugika au kukosa usingizi.
😟 Mabadiliko ya hisia β€” hasira, huzuni, wasiwasi au kuwa na hisia kali.
🧠 Kusahau/kupungua umakini (β€œbrain fog”).
❀️ Mapigo ya moyo kwenda kasi mara kwa mara.
πŸ’§ Ukavu wa uke, kuwashwa au maumivu wakati wa tendo la ndoa.
❀️‍πŸ”₯ Kupungua hamu ya tendo la ndoa.
🚽 Kukojoa mara kwa mara au kupata UTI mara kwa mara.
πŸ€• Maumivu ya kichwa au mwili.
🦴 Baada ya muda, mifupa kuwa dhaifu (osteoporosis) kutokana na kupungua kwa estrogen.
βš–οΈ Kuongezeka uzito, hasa eneo la tumbo, kunaweza pia kutokea.

05/10/2026

Kwa afya bora tumia virutubisho kutoka bright futiure

*TATIZO LA UTI SUGU KWA WANAWAKE**1. MAANA:*  UTI sugu ni maambukizi ya njia ya mkojo yanayojirudia mara kwa mara (zaidi...
05/10/2026

*TATIZO LA UTI SUGU KWA WANAWAKE*

*1. MAANA:*
UTI sugu ni maambukizi ya njia ya mkojo yanayojirudia mara kwa mara (zaidi ya mara 2–3 kwa mwaka), hata baada ya matibabu kamili.

*2. CHANZO:*
- Bakteria (hasa *E.coli*) kutoka kwenye haja kubwa.
- Kutokunywa maji ya kutosha.
- Kutojisaidia mkojo kwa wakati.
- Kujisafisha vibaya (kutoka nyuma kwenda mbele).
- Kufanya tendo la ndoa bila kujisafisha kabla na baada.
- Kutumia sabuni zenye kemikali sehemu za siri.
- Kinga ya mwili kuwa chini (mfano: kisukari, HIV).

*3. DALILI:*
- Maumivu au kuchoma wakati wa kukojoa.
- Kukojoa kila mara kwa kiasi kidogo.
- Maumivu sehemu ya chini ya tumbo au nyonga.
- Mkojo kuwa na harufu kali au rangi ya ajabu.
- Homa au baridi (kwa maambukizi makubwa).

*4. MADHALA:*
- Maambukizi kufika kwenye figo.
- Uwezekano wa kupata figo kushindwa kufanya kazi.
- Maumivu ya nyonga ya kudumu.
- Kupunguza hamu ya tendo la ndoa.
- Kukosa amani ya mwili na akili.

*5. JINSI YA KUZUIA:*
- Kunywa maji mengi kila siku.
- Jisaidie mkojo mara tu unapohisi haja.
- Safisha uke kwa maji tu, epuka sabuni zenye kemikali.
- Osha sehemu za siri kutoka mbele kwenda nyuma.
- Jisaidie mkojo baada ya tendo la ndoa.
- Vaa chupi za pamba, epuka za nailoni na kubana.

Kwa tiba na ushauri njoo inbox

02/10/2026

na wewe k**a unateseka basi usipoteze muda na pesa zako wahi kwetu tiba ya uhakika kwa virutubisho lishe

30/09/2026

Uzuri sisi tuna suplement za kubana uke kuongeza hisia na hamu ya tendo na kuongeza ute wa kutosha so k**a qe mwanamke unaona changamoto au mwanamme unaona mwanamke wako k**a hayupo sawa basi tuambie

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
234

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tiba asili posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share