Tiki sports

Tiki sports

Share

Kwa taarifa za michezo na burudani, mpya na za moto, tembelea Tiki sports

Photos 14/04/2021

Man city ndio timu pekee iliyobaki UEFA ambayo haijafungwa msimu huu. Wanakibarua kizito Leo dhidi , je rekodi hiyo itabaki??
Majibu tutayapata SAA NNE usiku Leo hii

Photos 01/04/2021
Photos 29/03/2021

Sergio kun aguero anaondoka man city mwishoni mwa msimu huu
Amefunga magoli 254 toka atimbe ligi ya uingereza 2011.

Photos 29/03/2021

Bruno: " Sasa blaza sikiliza, Mimi ndio mpiga penati nguli kwa sasa uliza EPL watakwambia show zangu, kwahiyo niachie."
Cr7: "Unasemaje wewe?"

Photos 26/03/2021

Unamtaka Erling Halaand?
Basi andaa £180. Hii itamfanya kuwa mchezaji wa pili ghali zaidi duniani baada ya Neymar Jr (£222).
Halaand means business to Borussia Dortmund

26/03/2021

Ligi ya uingereza msimu wa 2021/2022 itaanza tarehe 14/8 na kumalizika 22/5/2022

Photos 24/03/2021

Tarehe na mwezi k**a wa Leo mwaka 2016 alifariki mwanasoka nguli wa uholanzi Johan Cruyff. Cruyff ambae amewahi kuzichezea na kufundisha klabu za Ajax na Barcelona. Ameshinda Ballon d'Or Mara tatu 1971,73 na 1974.
Pep guardiola na kocha wa sasa wa Barcelona Ronald Koeman ni Moja ya wachezaji waliofundishwa na Cruyff.
Philosophy na style yake ya mpira imekua na ushawishi mkubwa kati ya makocha wengi akiwemo kipara pep.
Nje na maisha ya soka, Johan Cruyff alikua anavuta sana sigara(20 kwa siku) hadi kumpelekea kufanyiwa upasuaji wa moyo mwaka 1991, na hapo ndipo alipoacha kula moshi.

R.I.P Johan Cruyff, the philosopher of Total football

Photos 22/03/2021

Xabi Alonso anaenda kuwa kocha wa borussia mönchengladbach msimu ujao kuchukua nafasi ya Marco rose anayetimkia borussia Dortmund.
Kabla alikua kocha wa Real sociedad B tangu 2019.

22/03/2021

Karibuni tiki sports, sehemu pekee utakakopata taarifa mpya za kimichezo na burudani. Ni Nyumba mpya ya michezo!!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address


Kigamboni
Dar Es Salaam